Kulala miguu minne raha sana (ndoa tamu sana)

Kufanya sex ni kama kula tu, japo chips kuku ni tamu ila ukipikiwa siku 30 tu za mwezi mmoja mwanzoni utakuwa unazila sana ila itafikia siku kadhaa ile hamu inaisha automatically unadokoa 2/3 unaacha.
Mbona unanitisha te a
 
hapo sasa unakuja kwenye sawala la hitaji la mtu mmoja mmoja kila mtu ana hitaji lake katika maisha ,tukubali kuwa hitaji na vipaumbele ni vya mtu binafsi,

Wakati unafanya zile hesabu nikaona usiangalie faida za kisayansi tu ila pia sex ni need
 
Umetoa namba Tu
 
Ndoa tamu ukiwa na Kazi ya kujipatia kipato,

Bila kuwa na kazi,
ndoa raha yake ni usiku tu,

Ikifika asubuhi jasho litakutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…