maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Sipendi Kusema mengi,lakini tukubaliane,malezi tunayowalea watoto wetu siku hizi,yanawacost kweli ukubwani.....
Imagine,
Mko wanachuo zaidi ya mia sita,wanaingia wahuni (maana siwezi sema majambazi),bila kurupushani yoyote,wanakuamuru utoe laptop au simu au hela,ukishindwa unalawitiwa..hapa wenzio wote wapo chumbani....wamejifungia ,wanaogopa.
ok,mnaamua kushirikiana,mnaandamana hadi polisi,hawa ndo mnawaamini,watawasaidia,mnafika,mnapigwa na kutawanywa...
Ki ukweli wanachuo wengi na vijana wengi (waliopo Vyuoni),wengi wamelegea kweli...unaweza kumuangalia ukafikiria mara Mbili...je ni wa kiume? ni kijana? au ni shoga....?
naweza kusema kwa upande mmoja ni uzembe wao,na upande mwingine ni haya malezi tunayowalea....ya "daddy" na "mummy"
Kuna mdau aliongelea kuhusu Mbeya Technical College,nadhani mnahitaji kubadilika na kujifunza kutoka kwa hicho chuo...otherwise mtaonewa sana.