Kulawitiwa na kupigwa kwa wanachuo wa IFM..Je ni uzembe wao?

Kulawitiwa na kupigwa kwa wanachuo wa IFM..Je ni uzembe wao?

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,408
Reaction score
6,094
Sipendi Kusema mengi,lakini tukubaliane,malezi tunayowalea watoto wetu siku hizi,yanawacost kweli ukubwani.....

Imagine,

Mko wanachuo zaidi ya mia sita,wanaingia wahuni (maana siwezi sema majambazi),bila kurupushani yoyote,wanakuamuru utoe laptop au simu au hela,ukishindwa unalawitiwa..hapa wenzio wote wapo chumbani....wamejifungia ,wanaogopa.

ok,mnaamua kushirikiana,mnaandamana hadi polisi,hawa ndo mnawaamini,watawasaidia,mnafika,mnapigwa na kutawanywa...

Ki ukweli wanachuo wengi na vijana wengi (waliopo Vyuoni),wengi wamelegea kweli...unaweza kumuangalia ukafikiria mara Mbili...je ni wa kiume? ni kijana? au ni shoga....?

naweza kusema kwa upande mmoja ni uzembe wao,na upande mwingine ni haya malezi tunayowalea....ya "daddy" na "mummy"

Kuna mdau aliongelea kuhusu Mbeya Technical College,nadhani mnahitaji kubadilika na kujifunza kutoka kwa hicho chuo...otherwise mtaonewa sana.
 
Miaka minne iliyopita pale Institute of Accountancy Arusha maarufu kama uhasibu kule Arusha, vijana walikuwa wanakabwa na kuporwa lakini siku moja tu wakaamua kuingia mtaani usiku, walitembeza kichapo cha haja mpaka FFU wanakuja vijana wameshamaliza kazi na hali ikawa shwari, vijana wanatembea kwa uhuru bila kuogopa kukabwa lakini inaonekana wanafunzi wa IFM wengi ni watoto wa mama!
 
kuna ugonjwa siku hizi umeingia unaitwa mimi msomi..ndo unao wagharim hasa vijana wengi wanaojiunga na vyuo,kwanza kuwa na dharau kwa watu wakisha wajua wamewazidi elimu,kubadilika kutoka kwenye mfumo wa maisha yao halisi kwenda maisha ya imagination,kukosa mkashikamano,hasa kwa hiki kizazi cha digital.Jaman kwa walio soma sekondari za miaka ya tisini,themanini,mpaka hapa 2000,nambie nikijana gani ambaye angeweza kufanyiwa kitendo kama hiki na vibaka/wadokozi?Hawa wanafanyiwa hivi sababu walishaonekana dhaifu mfano mzuri ni hapa Saut Mwanza ukiwaona wanachuo wakiume wengi hawana tofauti na dada zao,wote wanajipodoa na nimagoigoi..Sasa huyu hata panya akiingia hostel anapiga kelele..!!!
 
'Alisema, alisema, alisema Nyerere alisema vijana wangu wote mmelea, sharti tuanze mchakamchaka'. Kama wimbo huu unafahamika vijana waanze kujifua, vinginevyo vibaka wataendele kuibuka kidedea na hivi milegezo kibao vibaka hawapati hata shida kuifikia tiGO.
 
kuna ugonjwa siku hizi umeingia unaitwa mimi msomi..ndo unao wagharim hasa vijana wengi wanaojiunga na vyuo,kwanza kuwa na dharau kwa watu wakisha wajua wamewazidi elimu,kubadilika kutoka kwenye mfumo wa maisha yao halisi kwenda maisha ya imagination,kukosa mkashikamano,hasa kwa hiki kizazi cha digital.Jaman kwa walio soma sekondari za miaka ya tisini,themanini,mpaka hapa 2000,nambie nikijana gani ambaye angeweza kufanyiwa kitendo kama hiki na vibaka/wadokozi?Hawa wanafanyiwa hivi sababu walishaonekana dhaifu mfano mzuri ni hapa Saut Mwanza ukiwaona wanachuo wakiume wengi hawana tofauti na dada zao,wote wanajipodoa na nimagoigoi..Sasa huyu hata panya akiingia hostel anapiga kelele..!!!

mkuu hapo umenena vema,nilisoma saut yaan tulivamiwa na tulikuwa tumepanga nyumba moja na wavulana lakini hakuna walichosaidia zaid ya kujifungia ndani.Kilichosaidia ni sisi wasichana kupiga kelele ndo baba mwenye nyumba akaja na ndio ikawa ponapona yetu.
Hawa kaka zetu wamezidi sana kujilegeza, kiukweli wanaboa sana. Ukienda salun unawakuta wamejaa matokeo yake wamesababisha hadi gharama za salun kuwa juu kwsbb watumiaji wamekuwa wengi.

 
Vijana shabab kweli mko zaidi ya kumi muingiliwe na wanaume kama nyinyi halafu badala ya kushirikiana kuwapa kisago mnasubiri asubuhi mkalalamike polisi?Acheni kushindia chips fanyeni mazoezi ya ukweli .
 
Wacha walawitiwe tu! Nakumbuka wakati nikiwa secondary school tu! Mtaa ule hakuna muhuni aliyethubutu kumdhuru mwanafunzi wa shule, maana wanajua kifuatacho. Watu tulikuwa hatukubali uonevu wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mwenzetu! Lakini ile dhana ya upendo, mshikamano, na ujasiri inazidi kupotea siku hadi siku! Tukio la ifm jana ni la aibu sana kwa vijana! Kijana unathubutu kusimama mbele ya luninga na kusema umelawitiwa!!! What a shame! Naungana na mdau mmoja aliyeshauri jkt irudi!
 
vijana shabab kweli mko zaidi ya kumi muingiliwe na wanaume kama nyinyi halafu badala ya kushirikiana kuwapa kisago mnasubiri asubuhi mkalalamike polisi?acheni kushindia chips fanyeni mazoezi ya ukweli .

badala ya kupambana vijana wakaona suluhisho ni kutoa masaburi kwa wezi!
 
Huwa najiulizaga sana, sijui vita ikatokea sasa hivi ni vijana wapi watapigania taifa lao! kama vibaka wadogo wadogo kama hao wanawasumbua vijana zaidi ya mamia. wanabaki kulalamika wamelawitiwa!
 
Inatosha mmewasema sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
malezi ndio tatizo kubwa wazazi tunafikiri tunawapenda vijana na kuwalea kama mayai chipsi soseji no kufanya kazi za nyumbani kumbe tunawaharibu vijana ona sasa matokeo yake.
wazazi wenyewe mdebwedo ndio watawafunza watoto ukakamavu. oh utandawazi haya sasa watu wanaachwa wazi.
 
Hili ni Balaa sasa;

Ndio maana wazazi tunalalamika kuwa watotot wetu siku hizi maadili hakuna,

KUmbe ina maana vibaka walipoingia ndani wakawakuta vijana wamevaaa mlegezo hadi pale kwenye panda ya MANATI panaonekana ndio maana wakaamua kushusha kabisa Trouser na kula TIGO.


Je, kwa wakina dada waliolalamika kuwa walibakwa ilikuwaje nao?????


MIZAMBWA
INNIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom