Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
Hili ni Balaa sasa;
Ndio maana wazazi tunalalamika kuwa watotot wetu siku hizi maadili hakuna,
KUmbe ina maana vibaka walipoingia ndani wakawakuta vijana wamevaaa mlegezo hadi pale kwenye panda ya MANATI panaonekana ndio maana wakaamua kushusha kabisa Trouser na kula TIGO.
Je, kwa wakina dada waliolalamika kuwa walibakwa ilikuwaje nao?????
MIZAMBWA
INNIUMA SANA!!!
nasikia jana kuna mmoja alimwambia Kova "nimelawitiwa men,na mwenzangu kalawitiwa men na yule kalambishwa koni men,sasa mtatusaidiaje tusilawitiwe tena men"
una uhakika!?
kuna ugonjwa siku hizi umeingia unaitwa mimi msomi..ndo unao wagharim hasa vijana wengi wanaojiunga na vyuo,kwanza kuwa na dharau kwa watu wakisha wajua wamewazidi elimu,kubadilika kutoka kwenye mfumo wa maisha yao halisi kwenda maisha ya imagination,kukosa mkashikamano,hasa kwa hiki kizazi cha digital.Jaman kwa walio soma sekondari za miaka ya tisini,themanini,mpaka hapa 2000,nambie nikijana gani ambaye angeweza kufanyiwa kitendo kama hiki na vibaka/wadokozi?Hawa wanafanyiwa hivi sababu walishaonekana dhaifu mfano mzuri ni hapa Saut Mwanza ukiwaona wanachuo wakiume wengi hawana tofauti na dada zao,wote wanajipodoa na nimagoigoi..Sasa huyu hata panya akiingia hostel anapiga kelele..!!!
heri tu jkt irudi wamezidi mno kuwa masharobaro meeen.
Vijana wa siku hizi kweli legelege, kijana lijari kifungua kinywa anapata glas ya juice na yai moja, mchana anakula tambi, chips au macaron badala ya ugali, pia sie enzi zetu unavaa buti kubwa la ngozi ila siku utamkuta kijana kavaa viraba tena vya kitambaa...dah
Wanawake wenyewe siku hizi hutafuta namna ya kupresent issue ya kubakwa inapowatokea, sasa mitoto ya kiume eti inajitokeza hadharani na mabango makubwa tena ya rangi ikilalamika eti imechoka kulawitiwa!!!! Nyamaf zao kabisa.Nna mashaka na kauli yao ya 'tumechoka kulawitiwa' iliyokuwepo kwenye moja ya bango katika maandamano,ina maana walishazoea ila sasa ndo wamechoka,