Kulawitiwa na kupigwa kwa wanachuo wa IFM..Je ni uzembe wao?

Kulawitiwa na kupigwa kwa wanachuo wa IFM..Je ni uzembe wao?

Hili ni Balaa sasa;

Ndio maana wazazi tunalalamika kuwa watotot wetu siku hizi maadili hakuna,

KUmbe ina maana vibaka walipoingia ndani wakawakuta vijana wamevaaa mlegezo hadi pale kwenye panda ya MANATI panaonekana ndio maana wakaamua kushusha kabisa Trouser na kula TIGO.


Je, kwa wakina dada waliolalamika kuwa walibakwa ilikuwaje nao?????


MIZAMBWA
INNIUMA SANA!!!

una uhakika na unachokisema au unaandika kufurahisha raia tu!?
 
Vijana wa siku hizi kweli legelege, kijana lijari kifungua kinywa anapata glas ya juice na yai moja, mchana anakula tambi, chips au macaron badala ya ugali, pia sie enzi zetu unavaa buti kubwa la ngozi ila siku utamkuta kijana kavaa viraba tena vya kitambaa...dah
 
Hebu tungalie wadau,hv kweli ni matatizo ya vijana wetu au ni malezi yetu sisi wazazi,? maana tuangalie chanzo na si tu kulaumu....tunawapenda kupita kiasi,mtoto akisema anasikia njaa tunaona kama anakufa,kazi hawafanyi,nguo tunazowavalisha ndio balaa.....maadili je? mtoto hasalimii mgeni wala mtu! je sio tatizo letu sisi wazazi? can someone tell me something?
 
Sifurahii kilichowatokea but ulegelege nao umezidi, kweli ww mpaka unavamiwa huko nyuma, jipangeni mukomeshe hao wanaowafanya vibaya.ona sasa mnaaandamana polisi iwasaidie, fanyeni ulinz shirikishi, walawitiwe vjana wenye nguvu zao na waee watafanywa nini sasa
 
kuna ugonjwa siku hizi umeingia unaitwa mimi msomi..ndo unao wagharim hasa vijana wengi wanaojiunga na vyuo,kwanza kuwa na dharau kwa watu wakisha wajua wamewazidi elimu,kubadilika kutoka kwenye mfumo wa maisha yao halisi kwenda maisha ya imagination,kukosa mkashikamano,hasa kwa hiki kizazi cha digital.Jaman kwa walio soma sekondari za miaka ya tisini,themanini,mpaka hapa 2000,nambie nikijana gani ambaye angeweza kufanyiwa kitendo kama hiki na vibaka/wadokozi?Hawa wanafanyiwa hivi sababu walishaonekana dhaifu mfano mzuri ni hapa Saut Mwanza ukiwaona wanachuo wakiume wengi hawana tofauti na dada zao,wote wanajipodoa na nimagoigoi..Sasa huyu hata panya akiingia hostel anapiga kelele..!!!

You said it all mkuu. Nilifikiria sana nikashindwa kupata jibu, I can't imagine kitu kama hiki miaka ya 90 tena sekondari za O-level tu achana na chuo,Polisi wangeenda kuokota mizoga ya watuhumiwa. Ila miaka hii mh! eti mwanafunzi wa chuo analalamika vibaka wanakuja kila siku kuiba tena kwa kuvunja milango na wanasema wameshawahi kupeleka majina ya wanaohisiwa polisi ( which means wanawafahamu! aibu tupu) Wazazi badilikeni,muwafundishe watoto kujitegemea
 
Dahh, haya hemu linganisha

1. Mchaka mchaka, Zamani mchaka kwenye barabara za magari na viwanja vya shule na vichochoroni wakati huo shuleni kwa mguu kama kilometer kadhaa hivi... (si mnakumbuka... JUA LILEEE LIETEREMKE MAMA AIYAYAA YAA IYA MAMA. siku hizi ................. tenis uwanja wa POSTA kijitonyama huku mabasi/magari ya wazazi yakiwasubiria na makoti ya maji na soda yapo bwerereeeee.....

2. Muda wa michezo
Zamani ni uwanja wa shule full mbigiri,...... siku hizi computer room ili ucheze computer games.

3. Chakula,
Zamani unarudi saa sita nyumbani unamkuta paka kalala jikoni, unawasha moto unapika msosi then unarudi shule.... Siku hizi msosi unaubeba asubuhi na utaula wakati wa mchana.

etc

etc

Kwa namna hiyo ukakamavu utatoka wapi? Wasilawitiwe tuu, acha bana unyolonyolo ndo unawaponza...
 
heri tu jkt irudi wamezidi mno kuwa masharobaro meeen.

Enzi zetu za makuruta hapo angekufa mtu mpo 600 bado mnakubali kudhalilishwa kiasi hicho ni kitendo cha aibu sana JKT na irudi ili vijana wasiolelewa majumbani wafundishwe ukakamavu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mbona kila anayechangia hii thread anajiona yeye ni mkakamavu?
Ki ukweli wengi muna vitambi. Bisha!
 
Vijana wakiendekeza ulegelege watadhalilishwa mno maishani.
 
duh.! Jamani hao wanafunzi umo chuoni wote wakike au.mbona wanatuabisha kama mashoga jamani bora mtu kukuibia sio tena hadi kukulawiti . duuuuuh . Inatia aibu .kama alivyosema kaka hapo.hayo malezi ya DADDY na MUMMY.BAGA ZANGU ZIPO WAPI AU NIPE HELA NIKANUNUE SUPERMARKET.daaah ,inatia uchungu xana
 
nathubutu kusema katika robo karne yangu na miaka kadhaa cjawah sikia mtoto rijali analawitiwa bila ridhaa yake hata huko uarabun kwe mamende unaambiwa kidume kinatongozwa sema cku hz naona kama kunapepo limeingia la ucameroon tanzania kuanzia wasanii wetu kama kina alikiba.dully sykes.matonya.hemed wote hao tushasikia kashfa zao sasa had wanafunz wa vyuo, mungu kisamehe kizaz hk cha nyoka
 
Nna mashaka na kauli yao ya 'tumechoka kulawitiwa' iliyokuwepo kwenye moja ya bango katika maandamano,ina maana walishazoea ila sasa ndo wamechoka,
 
yaaaaani hao wanaolalamika kulawitiwa nao ni wanaume, ni wapuuzi wanaume wazima wanashindwa kupammbana eti wanasema tumechoka kulawitiwa, shame on them. wanaume wazima shame on them
 
Vijana wa siku hizi kweli legelege, kijana lijari kifungua kinywa anapata glas ya juice na yai moja, mchana anakula tambi, chips au macaron badala ya ugali, pia sie enzi zetu unavaa buti kubwa la ngozi ila siku utamkuta kijana kavaa viraba tena vya kitambaa...dah

kwa style hii lazima ulambwe
 
Nna mashaka na kauli yao ya 'tumechoka kulawitiwa' iliyokuwepo kwenye moja ya bango katika maandamano,ina maana walishazoea ila sasa ndo wamechoka,
Wanawake wenyewe siku hizi hutafuta namna ya kupresent issue ya kubakwa inapowatokea, sasa mitoto ya kiume eti inajitokeza hadharani na mabango makubwa tena ya rangi ikilalamika eti imechoka kulawitiwa!!!! Nyamaf zao kabisa.
Welcome back JKT nad serve this nation from loosing the generation......
 
Back
Top Bottom