Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,311
Inatokea yule unae mpenda hana muda na wewe na anajua unampenda kwahiyo hata unapo jaribu kutafuta mapenzi kwake unakosa
Unajikuta una lazimisha mawasiliano kosa dogo amekutushia kukuacha au anakuacha jaribuni kuheshimu hisia za mtu baadhi ya wanaume 😢😢 ina uma sana