Kule AFCON kuna timu nyingine ina Bango la Rais wao uwanjani zaidi ya Tanzania?

Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Anatafuta U disii,ujinga mwingi
 
Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Siamini kama haya maneno ni kweli
 
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.

Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
Milion 500 kaipata wapi?
 
Kwanini hii timu isiitwe ccm stars?
Raisi ana mapenzi na mpira huo ukweli haupingiki
 
Hivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
Wangeshinda hao kijani kibichi wangelichukua kisiasa. Ungesikia wabunge wanafunga safari kwenye Ivory kushangilia Taifa Stars. Bora tu wafungashe virago ili kuipunguzia nchi hasara.
 
CCM wanajaribu kufanya mafanikio ya Taifa Stars ni mafanikio yao. Kama unaona chuki ujue ni kwa CCM na serikali yake.
But nasapoti anacho Fanya Samia make wengine Maraisi hawafanyi, Mama anaoenda Mpira kutoka Moyoni
 
Back
Top Bottom