Kule AFCON kuna timu nyingine ina Bango la Rais wao uwanjani zaidi ya Tanzania?

Kwa sababu watu wa dhuluma wamejiweka mbele kwenye hiyo team kusaka sifa za kisiasa. Na kwa taarifa yako hata leo Tanzania ikivamiwa watakuwa upande wa adui. Hiyo tafsiri yake ni haki huinua taifa.
We unawaza siasa tu na magwanda yako!!..vua uoshe jasho makalioni
 
Hivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
Na mimi nimeshangaa, lakini hiyo ina maana nchi iko divided kabisa. CCM na serikali yao ndo tuliowapa dhamana ya kuongeza taifa lakini hawayaoni hayo. Si uzalendo kushuka, ni sababu hatukai pamoja na watu wenye mawazo mbadala na kila mmoja akasikilizwa
 
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.

Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
Niliposoma swala;

Sikuendelea!
 
Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Serikali isingetoa pesa za safari,malazi na posho,hiyo timu yenyewe ingekuwepo!?
 
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.

Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
kuingia na bango lenye picha ya rais uwanjani hii ni uthibitisho kuwa nchi imejaa wapumbavu
 
Hivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
Ni wengi hutoamini. Mechi ya kwanza niliangalia ukumbini ha leo nimeangalia bar,tuna shida hii nchi na uzalendo haulazimishiki. Kuna wanaojidai tuko pamoja ila kuna dakika Zambia mchezaji kakosa goli watanzania wenzetu walivyoumia kwa sauti ndio tukajua hawa nao wanaigiza uzalendo.
 
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.

Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
Mama anaupiga mwingi
 
Ndo asili ya mkosi kwa team yetu ya taifa.

Mfano ni game ya leo.
 
Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Na yeye huyo mtangazaji anahitaji kuwa DC siku moja kama wenzake wengi.
 
Back
Top Bottom