Anatafuta U disii,ujinga mwingiUjinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
CCM wanajaribu kufanya mafanikio ya Taifa Stars ni mafanikio yao. Kama unaona chuki ujue ni kwa CCM na serikali yake.Hivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
We popomapapai kweli kweli kila MTanzania anamchango wake kwa timu ya Taifa....Wewe mavi ya Bata akili zako ziko wapi?
Siamini kama haya maneno ni kweliUjinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Milion 500 kaipata wapi?Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.
Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira.
Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
Raisi ana mapenzi na mpira huo ukweli haupingikiKwanini hii timu isiitwe ccm stars?
Wangeshinda hao kijani kibichi wangelichukua kisiasa. Ungesikia wabunge wanafunga safari kwenye Ivory kushangilia Taifa Stars. Bora tu wafungashe virago ili kuipunguzia nchi hasara.Hivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
Nguvu kubwa sasa ielekezwe kwa kukuza vipaji, Mama anaweza fanya jamboHivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
Ameipata wapi?Mama alitoa million 500
SIo tu kuwapa Moyo Maraisi wengine hawana habari na timu za za Taifa, ni Tanzania tu Raisi ana fuatilia na kutia moyoSi Bora hata Rais Wetu Huwa anawapa Moyo ila nyie mnawaponda Stars.
Sio siasa,Kuwapa moyo kwa lengo la kusaka sifa za kisiasa huo sio moyo.
MAma anatakiwa kuungwa mkono, ni Raisi pekee anaye fuatilia mpira ba ni Mwanamke, Sapoti ni muhimu sanaMm nafurahia haya matokeo tunayoyapata mana inaonyesha jinsi mama samia anavoupiga mwingi
Hujanielewa? Mather ni sapoti mkuu wa Mpira ukilinganisha naMaraidi wengineulitaka bango la mbowe
Sio baadhi mkuu.Hivi kwann watanzania baadhi Wanafurahi stars kufanya vibaya afcon
But nasapoti anacho Fanya Samia make wengine Maraisi hawafanyi, Mama anaoenda Mpira kutoka MoyoniCCM wanajaribu kufanya mafanikio ya Taifa Stars ni mafanikio yao. Kama unaona chuki ujue ni kwa CCM na serikali yake.