Kule Kenya mambo ni moto

Kule Kenya mambo ni moto

Wazee wa mapambio ya UWAZI,mliyajua haya?

Au mauno yote yale sababu ni kuwekewa fomu 34A siku mbili kwenye website?
Mkuu,huu ndo uwazi wenyewe kwamba wenzetu katiba yao inaruhusu ambaye haharidhika kutafuta haki mahakamani na anapeleka ushahidi wake.

Huku kwetu katiba na sheria zetu zinasema hakuna mahakama yeyote yenye uwezo wa kusikiliza shauri la kupinga matokeo ya urais yakisharangazwa.

Watu wa namna hiyo saa ngapi tunaweza japo kujilinganisha nao?.

Sheria zao tu zinapelekea TUME kujitahidi kufanya vema,wizi wa kura Kenya unaweza kulinganisha na uporaji wa huku kwetu?.
 
Hapa napo Odinga akipinga tena matokeo itakuwaje?
 
Mkuu hiyo ni spin tu! Kimsingi watu wa Odinga wanafanya juu chini kuwadhalilisha wakina Chebukati!

Baada ya kiapo cha Chebukati kufika Court na kusema kweupe na tena kuwataja mpaka majina vyeo vyao wale walimshinikiza apindue matokeo na jinsi walivyo mshinikiza nawao wakaona waje na hiyo propaganda!

Kiukweli kama kungelikuwa na kitu kilifanyika hapo katika kutemtembelea huko, kingeletwa kama kielelezo Mahakaman tangia awali wakati wameenda kupeleka kesi yao na kupeleka vielelezo vyao kweye ile Canter na hicho kingekuwepo kama ushahidi.
Kweli wangekuwa na ushahidi wowote wa maana wa kumuondolea credibility wangeshautumia kitambo, ila so far ushahidi wao ni wa kuunga unga tu, halafu wanabadilisha maelezo kila mara
 
Walimtembelea kwa lengo lipi?

Kwani mwenyekiti wa tume hapaswi kutembelea watu?

Sijui kama ni kosa, unless kuwe na sababu nyingine ya zaidi.
hapaswi haswa baada ya kura kupigwa anapaswa kubaki na kuchunga uhesabuji wa kura!
 
Final ikiwa haiko fair kwa Baba inakuwaje?
Ameshasema wakenya na mataifa mengine yajiandae kisaikolojia maana kinachokwenda kutokea kitakuwa ni historia kwa vizazi vijavyo baada ya maamuzi ya mahakama!.
 
Walimtembelea kwa lengo lipi?

Kwani mwenyekiti wa tume hapaswi kutembelea watu?

Sijui kama ni kosa, unless kuwe na sababu nyingine ya zaidi.
Hiyo clip yake itolewe. Uzuri wa mahakama inataka ushahidi sio hadithi za kutunga. Forensic examination ya system ya uchaguzi itaeleza hadithi yote jinsi ilivyo
 
Back
Top Bottom