MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Mkuu,huu ndo uwazi wenyewe kwamba wenzetu katiba yao inaruhusu ambaye haharidhika kutafuta haki mahakamani na anapeleka ushahidi wake.Wazee wa mapambio ya UWAZI,mliyajua haya?
Au mauno yote yale sababu ni kuwekewa fomu 34A siku mbili kwenye website?
Huku kwetu katiba na sheria zetu zinasema hakuna mahakama yeyote yenye uwezo wa kusikiliza shauri la kupinga matokeo ya urais yakisharangazwa.
Watu wa namna hiyo saa ngapi tunaweza japo kujilinganisha nao?.
Sheria zao tu zinapelekea TUME kujitahidi kufanya vema,wizi wa kura Kenya unaweza kulinganisha na uporaji wa huku kwetu?.