alivyokufa Di nilitangaza vita rasmi na hii familia!Wooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]
Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]
Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!
Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana
Sent using Jamii Forums mobile app
weeeh!Ok ok...but Charles anampenda camilla kufa sijui amelogwa[emoji16]...
Hivi Diana kagawaga uroda sana eeeh??...sikujua hili
Sent using Jamii Forums mobile app
HEWITT NA HARRY wanafanana mno!Hasnat alikuwa anapumua kwa oxygen labda [emoji89][emoji2]
Sio kwa hamu hiyo
Kweli wanasema Hewitt ni baba yake lakini sijui kwa kweli ila wanafanana [emoji15]
Kuhusu kuolewa tena sijui utaratibu wao kama angeolewa maana hata Charles kaukosa ufalme kwa ajili ya kutembea na Camilla na hawakuoana kisheria
Matatizo ya kina Sarah ni kuwa huyu mama mkwe wao Malkia aliwavuruga sana imagine walikuwa wanakaaje wakati wanakula pamoja na maneno wanayotupiwa huku queen mother akizima lakini wapi
Ndoa zao zimeharibika mpaka kwa mwanae wa kike labda mmoja Edward tu ndio bado ana mke wake
Lakini mama mkali sana
Nafikiri huwa wakiachika labda hawaolewi tena maana kuna wakati Sarah alijifanya kuleta za kuleta Queen akamrimua kwenye palace na kukata hela
Nae akaenda USA akafanya advert kwenye kampuni gani sijui (nimesahau)
Ili ajipatie hela za matumizi salaalee iliwaumiza sana Royal family lakini kakuza wanae
Kuna visa lakini ni familia kubwa sana na wametoka mbali na historia kubwa wapo wafalme walikuwa wehu na wapo walionyongwa yaani wana historia sana lakini wanapendwa na waingereza sana na watakuwepo kwa miaka mingi ijayo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Willy wanamuandaa kuwa mfalme na wana utaratibu wao kama mfalme ajae lazima afundishwe hata kuongea na hata kusalimia au kupokea wageni na hata kutembeaHEWITT NA HARRY wanafanana mno!
na pengine ndo sbabu Harry hachukuliwi serious vile!
wanamuacha tu aswampe na dunia!
William asingeruhusiwa KUMUOA MEGHAN!
hata angedhikiri uchi !
Huyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.
Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...
Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)
Au ukute ni habari za April Fools Day....
Nawaza tu wakuu.
Tatizo kiinglishi!! Angewanyali vipi sijui..
Hey!! Donti folo folo me, luk at ur mouth, mouth like marlin fish!! Vilegs like honey badger!! Sasa sijui nyooo angeitamka vip kwa kiinglishi!!
Au ataishia kuwaimbia nyimbo za taarabu na kunung'unika kwa mafumbo
Ooh! There are people n shoes in this world!!
Oohh!! If u have it will pain em inside inside.
Oooh!! Live them, avoid 'em quickly quickly
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa!!Chiiiiiii.....my ribs[emoji23][emoji23][emoji23]co kwa chambo hlo la kdhungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepotelea wapi 🤔🤔🤔