makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ndio wameturithisha na sie wabongoland,Umeona eeeh!....haki waingereza wana mdomo jamani khaa[emoji134][emoji134]
Yaan unaweza kufikiri hawana kazi, full umbea tu na uwongo uwongo mwingereza anashika namba moja!
Sent using Jamii Forums mobile app
"Wakati Meghan akipata marufuku hio kate mke wa Prince William ana kila ruhusa ya kuazima vito hivyo vya kifalme."
Hichi kipande mbona hakipo kwenye kingereza ulicho tafsiri ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti Kate kajishusha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...ngoja nikuache
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani angekuwa na damu ya bongo, sipati picha angetoka ukoo wa kina Riyama Ally...angewanyali mpaka basi.
Uzuri binti bandidu kinyume chake wangemuua kabla ya wakati wakeSana mkuu!
Anachekaga nje tu lkn huko ndani ni majanga kwelikweli [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Kate hana drama kabisa!...ndio maana mashangingi kina Beatrice na Eugenia walianza kumletea mdomo, full kuwapotezea[emoji57][emoji57]To me kate yupo poa hana drama na kama anazo ni za chini mno.
Haaaahaaaa[emoji16][emoji16]...sema kale ka Meghan kanapenda sana sportlight...yaan kasione camera full wenge[emoji16][emoji16]Natamani angekuwa na damu ya bongo, sipati picha angetoka ukoo wa kina Riyama Ally...angewanyali mpaka basi.
Mpaka sasa hatujajua...wanaweza kummaliza anytime!Uzuri binti bandidu kinyume chake wangemuua kabla ya wakati wake
Wakati Harry anampeleka Meghan kwa bibi yake kumtambulishaHuyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.
Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...
Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)
Au ukute ni habari za April Fools Day....
Nawaza tu wakuu.
Hawa nao Meghan mzungu kabisaa angekuwa kama sisi uku ingekuwaje.Wakati Harry anampeleka Meghan kwa bibi yake kumtambulisha
Malkia alimuuliza mjukuu wake "umempenda?"
Baadae akawa anawaonyesha picha zilizopo kwenye ukuta na moja ya picha kubwa ukutani aliwaambia ni ya bibi yake kwa jina alikuwa anaitwa Queen Charlotte mnamo mwaka 1744 na alikuwa mweusi
Kwa hiyo hata malkia ana kaweusi ka mbaaali
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hawa wenzetu wanatafririje weusi mbona ana brown hair kabisa.(chotara waite ivyo basi)
Na kweli kabisa kwa kuwa tu ni mmarekani na tabia haziendani[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]hivi unawajua waingereza kwa propaganda haha haa[emoji28][emoji1787]...
Harry apelekeshwe? Sasa angemuoa mpaka na kumpa mimba kama ni kimeo? or unafikiri hata Harry anaogopa kumpiga divorce akafie mbele!?..
Waingereza hawampendi Meghan kisa na sababu ana weusi damuni na anatoka nje ya uingereza! Hizi ndo tabia zao..
Harry hayuko happy kwa sababu Buckingham palace wanamnyanyasa mwanamke wake..Period
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mama mweusi wanaita mweusi tuHawa wenzetu wanatafririje weusi mbona ana brown hair kabisa.(chotara waite ivyo basi)
Wanajikutaga wao ni bora sanaa.Kama mama mweusi wanaita mweusi tu
Yaani wanatoa ukasoro hata kwa mwarabu anaitwa mweusi kisa nywele unaweza kuamini?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk