Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Umeona eeeh!....haki waingereza wana mdomo jamani khaa[emoji134][emoji134]

Yaan unaweza kufikiri hawana kazi, full umbea tu na uwongo uwongo mwingereza anashika namba moja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio wameturithisha na sie wabongoland,
Wabongo tumekuwa wambea kinyama, badala ya kuwa wadukuzi tumekuwa wadakuzi..
Soka tumekuwa kama timu lao la taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilichoweka ni robo tu,nenda the sun utaikuta habari kamili

Another senior royal insider explained: “It is true that Buckingham Palace did not want all the items in the Royal Collection to be opened up to Meghan at this time.

“Obviously Kate as the next Princess of Wales and a senior member of the family does have them made available to her.

“That’s not to say items won’t be loaned to Meghan in the future if situations change.”
"Wakati Meghan akipata marufuku hio kate mke wa Prince William ana kila ruhusa ya kuazima vito hivyo vya kifalme."

Hichi kipande mbona hakipo kwenye kingereza ulicho tafsiri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.

Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...

Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)

Au ukute ni habari za April Fools Day....

Nawaza tu wakuu.
Wakati Harry anampeleka Meghan kwa bibi yake kumtambulisha
Malkia alimuuliza mjukuu wake "umempenda?"
Baadae akawa anawaonyesha picha zilizopo kwenye ukuta na moja ya picha kubwa ukutani aliwaambia ni ya bibi yake kwa jina alikuwa anaitwa Queen Charlotte mnamo mwaka 1744 na alikuwa mweusi

Kwa hiyo hata malkia ana kaweusi ka mbaaali

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huyu hapa Queen Charlotte na ni mweusi
20190405_200701.jpg


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wakati Harry anampeleka Meghan kwa bibi yake kumtambulisha
Malkia alimuuliza mjukuu wake "umempenda?"
Baadae akawa anawaonyesha picha zilizopo kwenye ukuta na moja ya picha kubwa ukutani aliwaambia ni ya bibi yake kwa jina alikuwa anaitwa Queen Charlotte mnamo mwaka 1744 na alikuwa mweusi

Kwa hiyo hata malkia ana kaweusi ka mbaaali

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hawa nao Meghan mzungu kabisaa angekuwa kama sisi uku ingekuwaje.
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]hivi unawajua waingereza kwa propaganda haha haa[emoji28][emoji1787]...

Harry apelekeshwe? Sasa angemuoa mpaka na kumpa mimba kama ni kimeo? or unafikiri hata Harry anaogopa kumpiga divorce akafie mbele!?..

Waingereza hawampendi Meghan kisa na sababu ana weusi damuni na anatoka nje ya uingereza! Hizi ndo tabia zao..

Harry hayuko happy kwa sababu Buckingham palace wanamnyanyasa mwanamke wake..Period

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli kabisa kwa kuwa tu ni mmarekani na tabia haziendani
William anaandaliwa kuwa mfalme na mke wake malkia kwa hiyo kuna bifu kati ya meghan na mke wa Will
Harry anajua hilo na ni mtu wa kujirusha sana wakati William na mke wake wanabanwa na kuchungwa sana
Naweza nikaibuka siku moja nikakutana na Harry disco hahahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom