Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
The Queen has 'banned' the Duchess of Sussex from wearing some of the priceless items from her Royal Collection, it has been revealed today.

Certain priceless items from the collection, which are loaned at the discretion of Her Majesty, will not be made available to Meghan, according to a palace insider.

The move reportedly came after the Queen was left 'unimpressed by Meghan's demanding behaviour' ahead of her marriage to Prince Harry last year - during which he is reported to have told staff, 'What Meghan wants Meghan gets.'

Buckingham Palace has reportedly introduced the stringent new rules in a bid to 'maintain order, hierarchy and precedence' within the Royal Family.
BBVBppS.img.jpg

Kwa lugha adimu ya kibantu:
Ni hivi kule kwa malkia mambo ni motoo. Malkia ametoa marufuku kwa Meghan kuvaa/kuazima vito vya kifalme vinavyopatikana ndani ya familia hio. Hii ni baada ya Malkia kutoridhishwa na tabia ya Meghan kutoa ombi la kuazima urembo wa kichwani kipindi cha maandalizi ya ndoa yake jambo ambalo ni kinyume na taratibu za familia hio ya kifalme

Katika sakata hilo la kuazima urembo kabla ya ndoa,Mume wa Meghan,Prince Harry alisikika akimtetea mkewe,kuwa kile akitakacho Meghan lazima apewe.

Wakati Meghan akipata marufuku hio kate mke wa Prince William ana kila ruhusa ya kuazima vito hivyo vya kifalme.
 
Huyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.

Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...

Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)

Au ukute ni habari za April Fools Day....

Nawaza tu wakuu.
 
Huyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.

Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...

Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)

Au ukute ni habari za April Fools Day....

Nawaza tu wakuu.
Hamna wanambagua kweli mkuu[emoji134]

Yaan anaipata pata sema Harry yuko upande wake!

Na hivi anakaribia kujifungua full kumpa stress ili mimba itoke....nyambaff zao

Kile kibibi kile[emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma article moja wanasema Merghan ana tabia ya kummforce mumewe prince harry na kum harras nadhani mnaelewa hapa na walicompare furaha ya Harry akiwa bado hajamuoa na sasa alipomuoa wanasema kwenye events nyingi wakiwa wame attend Harry huonekana akiwa hana furaha. So ndani ya Jumba la bibi elizabeth kunawaka motoo. But things are contradicts wwngine wana sifia na kusema malkia anamkubali merghan wengine wanasema No.
 
Black descendants hasa wa America huwa kila wafanyacho wanataka kumzidi mzungu...yaani hata mambo mabaya wao lazima wazidi...hii familia itakoma

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom