BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa.
Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya Raisi kule.
Juzi nilishangaa kumuona Waziri wa Michezo Uwanja wa Taifa badala kuwepo Ufaransa kuwatia hata moyo hao wanariadha sijui wawili au watatu waliopo kule. Waziri yuko busy na Yanga na Simba timu za Samia ambazo CCM ina zitumia kisiasa tu kwa sababu zimejaaa wajinga tupu.
Kenya inajitangaza vilivyo pare Paris Ufaransa, make mashindano yanatazwama vilivyo na Dunia nzima.
Tanzania tulivyo wajinga tunaamini Yanga na Simba zunaweza Itangaza Tanzania, haya ni mawazo ya kijinga sana kutoka kwa Taifa ka wajinga.
Sina uhakika hata kama timu ya Olyimpic ya Tanzania iliagwa hata na Waziri wa Michezo, sina uhakika achilia mbali kuagwa na Raisi ambaye hawezi fanya hivyo make hakuna wapiga kura kwenye timu ya Olyimpic.
Hakuna kiongozi wa nchi anaumia na kinacho endelea Paris kule, bali wana furaha kwa sababu wana mazezeta wengi sana pale yanga a Simba wa kuwasapoti kwenye kupiga kura.
Tuendelee kuwa busy na Yanga na Simba make kule ndiko wamejaaa idadi kubwa sana ya Wajinga wa hili Taifa la Tanzania.