Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

Inasikitisha sana
 
Hata channel za kutuonyesha, tumelipia fedha lakini wanaonyesha vipindi vya kiislam
 
Sisi badala ya kupeleka watu olympic, tunapeleka wasanii Korea.

Wasanii wenyewe walivyo mbumbumbu, baada ya kufika Korea badala ya kutangaza utamaduni wa Kitanzania, wanaanza kutangaza utamaduni wa Korea!
 
Olympics iliyomtukana mpaka Yesu na inayoshabikia ushoga?

Hayo yamenifanya kwa mara ya kwanza sijtazama maonesho ya Olym[ics. Huko wanaume wanagombania kuwa wanawake.

Uislam ni mwema sana.
Iran wamesinda medali 3 za dhahabu tayari.
 
.


Tuendelee kuwa busy na Yanga na Simba make kule ndiko wamejaaa idadi kubwa sana ya Wajinga wa hili Taifa la Tanzania.
Kwa mujibu wa tafiti; hao wajinga wanaimini sana ccm na wapo tayari kuifia!
Hivyo ccm haiwezi kufanya kinyume zaidi ya kuwa pamoja nao!
 
Mtaji wa CCM ni umasikini na ujinga bila hivi sisiem haiwez kuongoza hili taifa, kwa idadi ya watu tulionao huezi kosa watu wenye vipaji vya kucompete kwenye mashindano ya olympic, tatizo kuu ni umasikin wa makusudi tunaosababishiwa na CCM, ukitaka kufa na njaa kirahis tz invest kwenye michezo, nguvu kubwa ya michezo ccm imeweka kwa simba na yanga wengine wote muwe mashabiki na machawa wa serikali. Kwa iyo sio kosa la wananchi ni makusudi yanayofanya na serikali yao.
 
Jana wakati wa mechi ya community shield baina ya machester united na machester city niliona mtu anapaza bendera ya Tanzania wakati wa goli, hivi kuna mtanzania anaechezea Man u. Au ulikua bendera ya nchi nyingine.
Kwenye taarifa zilizovuja weakleaks wakati ule..mabalozi wa magharibi wanaeleza kuwa wako kwenye nchi Africa ambako jezi za timu klabu za ulaya zinavaliwa kwa wingi zaid kuliko jezi za timu zao za taifa..na serikali ipo radhi kuahirisha jambo la kitaifa ili watu wakaangalie mpira wa man. United na arsenal hao ndio watu wanaopewa hadhi sawa na binadamu walioko nchi za magharibi..
 
Kwenhe haya mash in can on so joins hats mfaransa mmoja aliebeba picha ya rais wao ingekuwa huku??! Kina jomate, mwijaku, stivu nyerere n.k wangevaa had I chupi zenye picha ya mama
 
Kingine ni kwamba
Kile kinacho fanyika france nchi ijitahidi kuanzisha hata robo kinacho endana na kile utalii ni zaidi ya kuona wanyama na milima
 
Mwaka huu wameongeza na breakdance kwa ajili ya wale waruka majoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…