Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

Hatuna akili, tunaongoza nchi. Hatuna akili, Bungeni tumejaa sie nje. Hatuna akili eti tunatumia dola nyie mmeufyata! Pumbavu!!!!
Mbona kuna wapumbavu wengi walikwishashika madaraka? Hivi Amin alikuwa na akili kuwazidi waganda wote? Au unaamaini kuwa Hitler alikuwa na akili kuzidi Wajerumani wote?

Kichaa akishika kisu, lazima wenye akili wote wakimbie. Kwa sababu hujui hicho kisu atakitumiaje? Nani angeweza kumsogelea Hayati Magufuli na kumwambia kuwa unakosea, wakati unajua kabisa ameshika kisu, na wewe huna chochote?

Mwenye akili, hata akishika bunduki, bado unaweza kubishana naye, bila ya hofu kuwa anaweza kuitumia vibaya bunduki yake.

CCM inaungwa mkono na watu wajinga (UTAFITI WA TWAWEZA).

NB: Usiombee mjinga apate madaraka.
 
Njaaa, njaaa
 
Na mjinga akipata madaraka akamuacha mwerevu nje hiyo tunaiitaje Mwl. Kashasha!?
 
Nilisha toa huu ushauri lakini naona wameweka pamba masikioni
 
Unafikiri Bungeni vinaingia vichwa vibovu kama cha Lissu? Pumbavu!
Hivi unafikiri kati ya Tundu Lisu na Hayati Magufuli, mwisho wa yote, nani atajulikana kuwa na akili?

Hayati Magufuli tulimpenda kwa sababu tu ya ule ubinafaku wake, yaani naye alikuwa mwanadamu kama sisi, lakini kwa matendo yake, ni mjinga tu ndiye angemwunga mkono katika mambo yake mengi ya hovyo yaliyoliharibu Taifa. Na italichukua Taifa muda wa miaka hata zaidi ya 10, ili kuweza kuyaondoa kabisa madhara ya uharibifu alioufanya.
 
Nilikuwa nawaamini sana Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko.... Ila njaa haina adabu kwa kweli! Wamekuwa na mwisho mbaya na wa aibu sana!
 
Akirudi tena huyo jamaa nistue
 
Nilikuwa nawaamini sana Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko.... Ila njaa haina adabu kwa kweli! Wamekuwa na mwisho mbaya na wa aibu sana!
Noma sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…