Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Aiseeee !!Vichwa bora ni kama Halima Mdee, Esther Bulaya na Esther Matiko kutaja wachache.
Kama kibovu ilikuwaje akaogopwa kiasi cha kuyataka maisha yake.Huna akili wewe! Hujui hata vichwa bora wanakuwaje!
Je kwani na fisi waliingiamo.Nyumbu wa Ufipa msihangaike. Akina Mdee wapo Bungeni hadi 2025.
Akili isipotumika vizuri nayo ni matatizo.Vichwa bora ni kama Halima Mdee, Esther Bulaya na Esther Matiko kutaja wachache.
Mbona kuna wapumbavu wengi walikwishashika madaraka? Hivi Amin alikuwa na akili kuwazidi waganda wote? Au unaamaini kuwa Hitler alikuwa na akili kuzidi Wajerumani wote?Hatuna akili, tunaongoza nchi. Hatuna akili, Bungeni tumejaa sie nje. Hatuna akili eti tunatumia dola nyie mmeufyata! Pumbavu!!!!
Njaaa, njaaaWakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .
Ili kuepuka jambo hilo wanapaswa kujiuzulu kabla ya Jumatatu
Na mjinga akipata madaraka akamuacha mwerevu nje hiyo tunaiitaje Mwl. Kashasha!?Mbona kuna wapumbavu wengi walikwishashika madaraka? Hivi Amin alikuwa na akili kuwazidi waganda wote? Au unaamaini kuwa Hitler alikuwa na akili kuzidi Wajerani wote?
Kichaa akishika kisu, lazima wenye akili wote wakimbie. Kwa sababu hujui hicho kisu atakitumiaje? Nani angeweza kumsogelea Hayati Magufuli na kumwambia kuwa unakosea, wakati unajua kabisa ameshika kisu, na wewe huna chochote?
Mwenye akili, hata akishika bunduki, bado unaweza kubishana naye, bila ya hofu kuwa anaweza kuitumia vibaya bunduki yake.
CCM inaungwa mkono na watu wajinga (UTAFITI WA TWAWEZA).
NB: Usiombee mjinga apate madaraka.
Nilisha toa huu ushauri lakini naona wameweka pamba masikioniWakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .
Ili kuepuka jambo hilo wanapaswa kujiuzulu kabla ya Jumatatu
Hivi unafikiri kati ya Tundu Lisu na Hayati Magufuli, mwisho wa yote, nani atajulikana kuwa na akili?Unafikiri Bungeni vinaingia vichwa vibovu kama cha Lissu? Pumbavu!
Nilikuwa nawaamini sana Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko.... Ila njaa haina adabu kwa kweli! Wamekuwa na mwisho mbaya na wa aibu sana!Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .
Ili kuepuka jambo hilo wanapaswa kujiuzulu kabla ya Jumatatu
Akirudi tena huyo jamaa nistueHivi unafikiri kati ya Tundu Lisu na Hayati Magufuli, mwisho wa yote, nani atajulikana kuwa na akili?
Hayati Magufuli tulimpenda kwa sababu tu ya ule ubinafaku wake, yaani naye alikuwa mwanadamu kama sisi, lakini kwa matendo yake, ni mjinga tu ndiye angemwunga mkono katika mambo yake mengi ya hovyo yaliyoliharibu Taifa. Na italichukua Taifa muda wa miaka hata zaidi ya 10, ili kuweza kuyaondoa kabisa madhara ya uharibifu alioufanya.
Noma sana !Nilikuwa nawaamini sana Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko.... Ila njaa haina adabu kwa kweli! Wamekuwa na mwisho mbaya na wa aibu sana!