Kuliko Bilion 34 kujenga soko Kariakoo bora soko lihamishwe

Mimi tangu nihame kutoka Dar ni takriban miaka 25 imepita, ninayo miaka mingi sijafika Dar, umeongea ukweli mtu big up.
 
Mimi tangu nihame kutoka Dar ni takriban miaka 25 imepita, ninayo miaka mingi sijafika Dar, umeongea ukweli mtu big up.
Mkuu karibu utuchangie mawazo wakubwa watusikie
 
Kazi na iendelee jenga kkoo huko pembeni pia tuyajenge.....
 
Mkuu karibu utuchangie mawazo wakubwa watusikie

Mkuu, hayo mawazo yako nayaunga mkono na bila shaka wakubwa watasoma au watafikishiwa huo ujumbe wako. Ujumbe wako ni mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…