Ukipata lazima kiwe kinahitaji marekebisho au kimejazwa put au milage ni 150 +Vitz used hata 6mil unapataa kizuriii kikalii tuu..!!
Hata 6m unapata, tatizo safari za garage baada ya hapo zitakuwa nonstop. Tofauti na yule anayeagiza Japan straight, anakuwa na 3yrs ya kuendesha bila kufanya matengenezo ya kuumiza kichwa.IST used mbona hata 8M unapata ukitaka za kulenga mbona zipo saana tu mkuu
Na kodi imepandaHii dola inavyopanda itatuua
Point. Yard ya pale jangwani ndo zaoBora kuagiza au uzame Yard ya Wajapan.
Yard za Wapemba wanafanya uhuni, wanachukua Used Znz
unafikiri kuna mtu anapenda kununua,ila inabidi,mtu m7 amejichanga kwa jasho na damu,mwaka mzima,ndo kapokea mchezo atafanyaje,na hela kwa sisi extended family haitunziki.Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk
Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani.
Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena na mil 2 za kurekebisha gari angalau uweze kutembelea.
Kwa ushauri tu usikimbilie kununua gari used Bongo subiri ujazie jazie uagize kabisa, uwe na uwakika wa kutuamia angalau miaka 2 bila kwenda garage zaidi ya kumwaga tu oil.
Hapo unazungumzia baada ya miaka miwili sasa ndo utanza kuona icho kipind ambacho wengi ndo huanza kuuza sasa magariHapa unachoogopa ni nini? Hata ukiagiza toka jep itafika kipindi tu utawajua mafundi garage. Au la usiliendeshe uliweke ndani.