Kuliko ucheze na Waarabu bora ucheze na Shetani.


We ndio shoga acha kutukana waaarab kwa chuki binafsi tu. Sisi hatuna kiwango wale sio wenzetu
 
#acha muoneshwe mpira unavochezwa#porojo zenu hamishieni kwenye siasa.
 
Mimi huwa namkubali marcio maximo sema fitina tu za watz
 
Hakuna fitina haPo goli zote halali kadi zote halali labda mseme waliwapulizia dawa
 
kiukweli leo tulizidiwa kla idara bla kujali matatizo ya waarabu ukweli unabaki pale pale kua tumepigwa kihalali kbs
 
jaman magufuli starz ni bado sana ile ni level nyingine kisoka
 
Nimeshuhudia mechi nyingi za waarabu. Mechi zao ni fitina na ulaghai wa kila namna.

Watanzania tujifunze fitna kwani wenzetu wana fitna nyingi sana.

Yaani kila saa hata wakiguswa shati anabiringita mara mia. Sijui haya ni mashoga.Takataka kabisa.

Mbona hata nyie fitina mnaziweza tena sana tu, sema mmeziwekeza zaidi kwenye siasa... hebu jaribuni na kwenye michezo muone kama hamtafanikiwa
 
Ucwaite mashoga kubali mpira hamjui unapowaita mashoga au takataka wenyewe wanapeta na wako vizur Tanzania tutaishia kulalamika
 
Msihofu tumeshampelekea Jecha malalamiko,ameahidi atayafuta matokeo

Kwa hiyo tutarudiana lini na hawa waarab? Make hawachelewagi kugoma kurudia mechi kama anavyozngua maalim seif.
 
Mtoa mada una matatizo ya ubongo fitina iko wapi kwa mpira wa leo hivi kuna goli hata moja la kimagumashi kati ya yale 7?au ndo kukariri kama kudondoka hata mrisho ngasa huwa anafanyaga hayo mambo sisi tuuze maandaz tu mpira cio fani yetu
 
Lile pendekezo la mwana JF humu Stars igeuzwe Bendi naliunga mkono mia kwa mia tena iwe bendi ya mchiriku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…