Kulikoni ajira za ualimu 2024?

Kulikoni ajira za ualimu 2024?

Kama ntakuwa nimekosea kwenye kumuelewa naomba mnisaidie,,,,,,,,

Swala la interview katika ajira hizi za mwaka 2024 halitakuwepo ,,, lakin kwa ajira za ualimu za mwaka 2025 , 2026 na kuendelea ,,,,, walimu itabidi wafanye interview ndipo wapate kazi

Kwa kifupi ,, nikuwa sasa shwala la interview limekuwa introduced rasmi kama kigezo cha nani apate kazi na nani asipitake kazi ,,, na utekelezaji wake utaanza katika ajira za mwaka 2025 na kuendelea

Sasa basi kama ni hivyo ,,, je hizi za mwaka 2024 zinatoka au hazitoki ??
Kama hazitoki watuambie kwanini ?? ,,,, Kama zinatoka pia watuambie kwa utaratibu gani ???,,,, Na zitazingatia vigezo vipi ???

-Je zitazingatia umri wa muhusika yani muombaji mwenye umri mkubwa ndiyo apate ??

-je zitazingatia mwaka wa kumaliza ,, yani muombaji aliyemaliza miaka ya nyuma ndiyo ananafasi ya kupata ??

- je,, walimu watatakiwa kuomba tena ?? Au watatumia majina yale yale ya utumishi ??

-je swala la vituo litakuwaje ?? Watajipangia wenyew vile wanaona au watazingatia machaguo ya waombaji kama walivyoomba katika account za utumishi ??

Naona kama speech ya muheshimiwa ,,,, bado imeacha maswali mengi sana huku mtaani...
 
Kwa mwaka huu lazima watafute namna ya kujisahihisha. Hawaelweki. Wenyewe pia hawaelewi.

Nia njema ya kupata watumishi wenye sifa kama mh anavyotaka ina make sense lakini sasa...bias itakuepo. Aliyemaliza 2015 akashindwa kuajiriwa kwa sababu mbalimbali kwann aingie kwa usaili wakati wapo walioajiriwa wa mwaka huo bila usaili?

Waboreshe..lakini pia mzigo kwa serikali..kila mwalimu na somo lake. Kwa mfumo huu ukiajiri mwalimu wa kiswahili atafundisha kiswahili pekee hata kama alikuwa na uwezo wa kufundisha masomo mawili. Hapo chukulia Mwl. wa kiswahili na kiingereza... afanye usaili afaulu kiswahili halafu asifaulu kiingereza, itabidi tena waingie mzigoni kuatafuta Mwl wa kiingereza.

Wajipange upya.

Kauli ya mh. Kuhusu batch hii wanaokwenda kuajiri hii kauli hajatoa kwa bahati mbaya. Kuna wakati akiwa kwenye mahafali ya shule ya Royal Elite pre and primary alizungumza. Kaurudia tena. Ni wazi kwa nilivyomuelewa batch hii ya mwaka huu 2024 hakuna interview ila ajira zingine zitakapotangazwa basi utaratibu wa interview utakuwa rasmi.

Mchakato ulipofikia ajira portal walimu wamekuwa shortlisted kwa ajili ya saili. Wengine wanasaili mbili wengine usaili mmoja.

Hakusitisha usaili kwa bahati mbaya, mambo mazito, kwao pia.
 
Umejiandikisha? Tukajiandishe tukachague viongozi bora. Tusiishie kulalamika tu. Haisaidii.
 
Mwaka huu hakuna watakao ajiriwa ambao hawajafanya usaili mkuu. Jipange na usaili baada ya uchaguzi na mtihani ya kidato channe Kati ya December Hadi January 2025
Kama ntakuwa nimekosea kwenye kumuelewa naomba mnisaidie,,,,,,,,

Swala la interview katika ajira hizi za mwaka 2024 halitakuwepo ,,, lakin kwa ajira za ualimu za mwaka 2025 , 2026 na kuendelea ,,,,, walimu itabidi wafanye interview ndipo wapate kazi

Kwa kifupi ,, nikuwa sasa shwala la interview limekuwa introduced rasmi kama kigezo cha nani apate kazi na nani asipitake kazi ,,, na utekelezaji wake utaanza katika ajira za mwaka 2025 na kuendelea

Sasa basi kama ni hivyo ,,, je hizi za mwaka 2024 zinatoka au hazitoki ??
Kama hazitoki watuambie kwanini ?? ,,,, Kama zinatoka pia watuambie kwa utaratibu gani ???,,,, Na zitazingatia vigezo vipi ???

-Je zitazingatia umri wa muhusika yani muombaji mwenye umri mkubwa ndiyo apate ??

-je zitazingatia mwaka wa kumaliza ,, yani muombaji aliyemaliza miaka ya nyuma ndiyo ananafasi ya kupata ??

- je,, walimu watatakiwa kuomba tena ?? Au watatumia majina yale yale ya utumishi ??

-je swala la vituo litakuwaje ?? Watajipangia wenyew vile wanaona au watazingatia machaguo ya waombaji kama walivyoomba katika account za utumishi ??

Naona kama speech ya muheshimiwa ,,,, bado imeacha maswali mengi sana huku mtaani...
 
Kutokana na sintofahamu usaili wa kada ualimu kusitishwa mpaka itakapotangazwa, hebu chukua dakika tano kumsikiliza Mh. Waziri wa elimu. Halafu nipe maoni yako.

Ubaya ubwela.
Inasemekana hii clip ni ya zamani kidogo
 
Kwa mwaka huu lazima watafute namna ya kujisahihisha. Hawaelweki. Wenyewe pia hawaelewi.

Nia njema ya kupata watumishi wenye sifa kama mh anavyotaka ina make sense lakini sasa...bias itakuepo. Aliyemaliza 2015 akashindwa kuajiriwa kwa sababu mbalimbali kwann aingie kwa usaili wakati wapo walioajiriwa wa mwaka huo bila usaili?

Waboreshe..lakini pia mzigo kwa serikali..kila mwalimu na somo lake. Kwa mfumo huu ukiajiri mwalimu wa kiswahili atafundisha kiswahili pekee hata kama alikuwa na uwezo wa kufundisha masomo mawili. Hapo chukulia Mwl. wa kiswahili na kiingereza... afanye usaili afaulu kiswahili halafu asifaulu kiingereza, itabidi tena waingie mzigoni kuatafuta Mwl wa kiingereza.

Wajipange upya.

Kauli ya mh. Kuhusu batch hii wanaokwenda kuajiri hii kauli hajatoa kwa bahati mbaya. Kuna wakati akiwa kwenye mahafali ya shule ya Royal Elite pre and primary alizungumza. Kaurudia tena. Ni wazi kwa nilivyomuelewa batch hii ya mwaka huu 2024 hakuna interview ila ajira zingine zitakapotangazwa basi utaratibu wa interview utakuwa rasmi.

Mchakato ulipofikia ajira portal walimu wamekuwa shortlisted kwa ajili ya saili. Wengine wanasaili mbili wengine usaili mmoja.

Hakusitisha usaili kwa bahati mbaya, mambo mazito, kwao pia.
Mkenda anatakiwa apitie apa🙌
 
Hv serikali inashindwa kutengeneza mfumo ambao waombaji wakijaza particulars zao utachuja wenyewe huu is the best hapate kazi. Unategeneza mfumo una feed criteria zinazoitajika wenyewe unachakata wenyewe unatoa majibu kulingana na idadi ya watu wanao itajika. Lkn serikali siku zote inaitaji watu cheap sana wakuwalipa laki saba.
 
Back
Top Bottom