Kulikoni ajira za ualimu 2024?

Kulikoni ajira za ualimu 2024?

Duub

mkuu unashukuriu Kwa maneno ya kuambiwa
Yawe ya kuambiwa au lah.. ila najua Kuna Jambo linazaliwa katika hayo. Vijana wetu wasomi ni kama wamekufa wangali wakitembea juu ya Kadhia hii. It really sucks mkuu...
 
Hakuna Nia ya dhati kama ya kikwete ya serikali hii kuajiri walimu!
Hio ilikua propaganda kuelekea uchaguzi wa s.mitaa!
 
Wangetoa sababu za kusitisha ingekuwa vizuri ili kuondoa mkanganyiko
Wamesitisha Ili waajiri 2025.Wameona wakiajiri mwaka huu mwakani kwenye uchaguzi wataajiri Tena🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom