ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Waalimu tupo wengi sana,nahisi moja ya sababu iliyowaumiza kichwa UTUMISHI na TAMISEMI ni venues hasa ukizingatia kipindi hiki shule bado hazijafungwa na vyuo pia bado havijafungwa,hivyo inakua ngumu kung'amua wapi usahili utafanyikia ilhali venues tegemewa ziko occupied.
Pili raslimali watu ndogo,itakayotumika kuandaa na kusimamia zoezi la usahili,nayo pia ni changamoto,maana kama kada ya afya tu idadi ya washiliwa ilikua ni ndogo ukilinganisha na waalimu,itakuaje kwetu?Nakumbuka kipindi cha usahili wa watu wa kada ya afya,kule sekretarieti ya ajira niliambiwa walibaki walinzi tu wale wa SUMA JKT,maafisa wote walikua wako bize kwenye vituo tengwa vya kufanyia sahili nchi nzima,je usahili wa ualimu si itakua hatari?
Mi nimewaza kua hayo mambo mawili ni miongoni mwa sababu zilizowafanya waghairi kufanyisha usahili kipindi hiki.