Walishindwa kusema hivyo wakati wanatoa tangazo la kusitisha? Kwanini hawakutoa ratiba baada ya hayo mazoezi kukamilika?Sababu zinajulikana , zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa na mitihani ya kidato Cha nne
Kwanini wameondoa majina kwenye wavuti baadala ya kufanya marekebisho ya tarehe ya interview na majina yakaendelea kubaki pale pale?
Uchaguzi na mitihani ina uhusiano gani na usaili, mbona shughuli nyingine za serikali zinaendelea?
Kwani usaili ungeathiri vipi uchaguzi na mitihani?
Wakati wanapanga hizo tarehe za usaili hawakujua kuwa kuna uchaguzi na mitihani itafanyika wakati huo?
Tumeshuhudia saili za afya zinafanyika vyuoni na mitihani hufanyika shuleni, kuna uhusiano gani wa mitihani na vyuo?