Kulikoni ajira za ualimu 2024?

Kulikoni ajira za ualimu 2024?

Sababu zinajulikana , zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa na mitihani ya kidato Cha nne
Walishindwa kusema hivyo wakati wanatoa tangazo la kusitisha? Kwanini hawakutoa ratiba baada ya hayo mazoezi kukamilika?
Kwanini wameondoa majina kwenye wavuti baadala ya kufanya marekebisho ya tarehe ya interview na majina yakaendelea kubaki pale pale?
Uchaguzi na mitihani ina uhusiano gani na usaili, mbona shughuli nyingine za serikali zinaendelea?
Kwani usaili ungeathiri vipi uchaguzi na mitihani?
Wakati wanapanga hizo tarehe za usaili hawakujua kuwa kuna uchaguzi na mitihani itafanyika wakati huo?
Tumeshuhudia saili za afya zinafanyika vyuoni na mitihani hufanyika shuleni, kuna uhusiano gani wa mitihani na vyuo?
 
Kila mtu anabahatisha mkuu,,afu uchaguzi ni trh 27/11, inamaana shughuli nyingine zikwame Kisa uchaguzi, kuna secret behind
 
Uchaguzi hauwezi kuzuia usaili, na kama sababu ingelikuwa hiyo wangelibadilisha ratiba na sio kusitisha
 
Walishindwa kusema hivyo wakati wanatoa tangazo la kusitisha? Kwanini hawakutoa ratiba baada ya hayo mazoezi kukamilika?
Kwanini wameondoa majina kwenye wavuti baadala ya kufanya marekebisho ya tarehe ya interview na majina yakaendelea kubaki pale pale?
Uchaguzi na mitihani ina uhusiano gani na usaili, mbona shughuli nyingine za serikali zinaendelea?
Kwani usaili ungeathiri vipi uchaguzi na mitihani?
Wakati wanapanga hizo tarehe za usaili hawakujua kuwa kuna uchaguzi na mitihani itafanyika wakati huo?
Tumeshuhudia saili za afya zinafanyika vyuoni na mitihani hufanyika shuleni, kuna uhusiano gani wa mitihani na vyuo?
Kiufupi sababu hazijulikani wanazijua wenyewe na wameamua wasiziweke hadhalani
 
Watu 176000+ kuwafanyisha paper, kumark, na kuchakata tokeo mara mbili sio KAZI ya kitoto.
Hii ni zaidi ya necta jamaa wanakusanya nguvu kwanza
Kwanini wasitoe paper moja kwa walimu wote wasicategorize masomo atakaepita atapangiwa kulingana na masomo yake aliyosomea

Hii itapunguza mzunguuko wa kuwafanyia interview mara mbili mbili kwa mtu mmoja maana walimu wengi wamechukua masomo mawili na ndio maana idadi inaonekana kubwa
 
Nafikiri miongoni mwa vitu vinavyowachanganya ni hivi.
Naamini watarudi na suluhu nzuri zaidi
 
Kwanini wasitoe paper moja kwa walimu wote wasicategorize masomo atakaepita atapangiwa kulingana na masomo yake aliyosomea

Hii itapunguza mzunguuko wa kuwafanyia interview mara mbili mbili kwa mtu mmoja maana walimu wengi wamechukua masomo mawili na ndio maana idadi inaonekana kub
Kila somo linanafasi yake. Kama unafundisha kiswahili na kiingereza inabidi ufanye interview ya kiswahili na kiingereza. Hata kwenye mfumo, utaratibu wa maombi ulikuwa kwa kila somo.

Kufanya mtihani mmoja wote kuna uwezekano wengi wa somo fulani kupata marks za juu, halafu wengine wakapata marks za chini. Kutengeneza usawa..kila somo lifanye mtihani.

Ugumu bado upo. Serikali ilishaacha kuajiri mtu kufundisha somo moja. Kila mwalimu anatakiwa kufundisha masomo mawili. Kama mwalimu x wa masomo mawili let say kiswahili na kiingereza, akifanya interview akifeli moja wapo...akiajiriwa atafundisha somo alilofaulu.

Hii ngoma bado ngumu. Ngoja tuone mwisho wake.
 
Kuna area nyingi sana za kumsaili mwalimu ukiachana na somo husika ambazo pia ni muhimu mfano ethics, assessment and evaluation, teaching methodology ambazo criteria hizo zinafanana kwa kila ngazi

Hii pia ingewasaidia kuwapangia kulingana na masomo waliyosomea mfano mwalimu akifaulu usaili anaweza pangiwa kufundisha masomo yote mawili
 
Nakusanua Man!

Serikali Haina Nia ya dhati ya kutoa ajira hizo Bali wanatangaza wapate coverage kwenye media ili ionekane ni serikali ya ajira kwa wasomi kumbe ni spinning za hapa na pale!!
 
Kwa pdf zinazotolewa kwa watu wa Afya hii hoja yako naipinga

Leo imetoka mikeka miwili ya nguvu mkuu hizi ajira sio geresha ila kwa walimu ni mode ya kuwasaili inakosekana kulingana na wingi wao
 
Kwa walimu Utumishi lazima wachanganyikiwe, mtu mmoja mwenye masomo mawili akifaulu written inamaana atakuwa kapiga interview nne,,, in short walimu 170000+ ni kama NECTA form six,,je serikali ilikuwa imetenga billions of TSH Kwa ajiri ya usahili
 
Kuna area nyingi sana za kumsaili mwalimu ukiachana na somo husika ambazo pia ni muhimu mfano ethics, assessment and evaluation, teaching methodology ambazo criteria hizo zinafanana kwa kila ngazi

Hii pia ingewasaidia kuwapangia kulingana na masomo waliyosomea mfano mwalimu akifaulu usaili anaweza pangiwa kufundisha masomo yote mawili
Hiyo ya teaching methodology naethi
Kuna area nyingi sana za kumsaili mwalimu ukiachana na somo husika ambazo pia ni muhimu mfano ethics, assessment and evaluation, teaching methodology ambazo criteria hizoth zinafanana kwa kila ngazi

Hii pia ingewasaidia kuwapangia kulingana na masomo waliyosome mfano mwalimu akifaulu usaili anaweza pangiwa kufundisha masomo yote mawili
Hiyo ya teaching methodology and ethics...n.k ndio iliyokuwa inatarajiwa..lakini masomo mawili sasa. Na kumbuka kila somo limeombwa tofauti.
Wakati ule kupitia Tamisemi..mfumo ulimpa mwalimu fursa kuchagua masomo mawili, yaani major na minor. Ila huu ni moja moja.
Kinachowachanganya ni namna ya kusaili...lakini kwa hili inaonekana hawakujiandaa.
Zile 170000s sio idadi ya walimu...bali ni idadi za interviews.

Tuwape muda. Watakuja na suluhisho.
 
Kwa walimu Utumishi lazima wachanganyikiwe, mtu mmoja mwenye masomo mawili akifaulu written inamaana atakuwa kapiga interview nne,,, in short walimu 170000+ ni kama NECTA form six,,je serikali ilikuwa imetenga billions of TSH Kwa ajiri ya usahili
Hizo 170k ni nafasi zilizojazwa ili kupata idadi kamili gawa kwa mbili maana walimu wengi wana masomo mawili

Wanachanganyikiwa tu bure watu washaomba masomo mawili mawili wangeacha kama ilivyo ila mtihani watoe mmoja kwa walimu wote kisha atakae faulu interview zote mbili atapangiwa kulingana na masomo alioomba simple like that
 
Back
Top Bottom