Kama ntakuwa nimekosea kwenye kumuelewa naomba mnisaidie,,,,,,,,
Swala la interview katika ajira hizi za mwaka 2024 halitakuwepo ,,, lakin kwa ajira za ualimu za mwaka 2025 , 2026 na kuendelea ,,,,, walimu itabidi wafanye interview ndipo wapate kazi
Kwa kifupi ,, nikuwa sasa shwala la interview limekuwa introduced rasmi kama kigezo cha nani apate kazi na nani asipitake kazi ,,, na utekelezaji wake utaanza katika ajira za mwaka 2025 na kuendelea
Sasa basi kama ni hivyo ,,, je hizi za mwaka 2024 zinatoka au hazitoki ??
Kama hazitoki watuambie kwanini ?? ,,,, Kama zinatoka pia watuambie kwa utaratibu gani ???,,,, Na zitazingatia vigezo vipi ???
-Je zitazingatia umri wa muhusika yani muombaji mwenye umri mkubwa ndiyo apate ??
-je zitazingatia mwaka wa kumaliza ,, yani muombaji aliyemaliza miaka ya nyuma ndiyo ananafasi ya kupata ??
- je,, walimu watatakiwa kuomba tena ?? Au watatumia majina yale yale ya utumishi ??
-je swala la vituo litakuwaje ?? Watajipangia wenyew vile wanaona au watazingatia machaguo ya waombaji kama walivyoomba katika account za utumishi ??
Naona kama speech ya muheshimiwa ,,,, bado imeacha maswali mengi sana huku mtaani...