Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Haya madaraja ya ATCL safari za ndani yana tofauti gani? TWiga Basic, Twiga Gain, Twiga Comfort, Twiga Business. Inakuwaje ndege moja inakuwa na madaraja mengi kiasi hicho? Nimezowea kuona ndege nyingi zikiwa na Business Class na Economy Class tu, ila hapa kwa ATCL ninashindwa kuelewa.
Nimetafuta ticket za ATCL Dar-Mwanza-Arush-Dar kati ya tarehe za August 9 hadi August 28 inaonekana zipo za madaraja ya juu tu halafu ile ya Mwanza Arusha niliyoweka hapo juu ni inalazmisha mtu aenede Dara Kwanza ndipo anede Aurusha na kutumia karibu siku nzima. Je hizi ndege zipiga trip moja moja moja au abiria ni wengi kiasi kuwa zinaelemewa? Je ile ndege ya Mwanza Dar kupitia Arusha na Zanzibar haipo tena siku hizi?