Kulikoni Bulembo, kaufyata?

Huyo naye ilisemekana alitafuna milioni 876 za umoja wa wazazi. Huko ni shida tupu. Ni mwendo wa kuumbuana kwakuwa Hakuna aliye safi.
 
Kakumbuka akiwa hajachelewa kumbe anaishi nyumba ya fulusuti kiyoo.
 
Katiba mpya ni maslahi ya taifa wewe mataga?
 
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.

Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.

Kaufyata?!
Alishikwa sehemu za siri kuhujumu shule zajumuia ya wazazi.
 
Slow slow alisema yeye hamuwezi bulembo kwani jamaa ana. Historia chafu sana za utapeli na ushirikina [emoji1787]
 
Acheni unafiki, kama mnataka siasa za kuweza kulisaidia hili taifa leteni KATIBA MPYA ndio suluhisho
 
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.

Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.

Kaufyata?!
 
Huyo Mzee angetulia akalea wajukuu tu.

Press conference nzima anatajataja majina tu kama wimbo wa Bwana Misosi.

Bila shaka wanae au wazee wenzie wamemwambia anaimba nje ya mdundo akae kimya.
 
binafsi nimekuelewa sana mkuu....heshima kwako&ubarikiwe.
 
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.

Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.

Kaufyata?!
SHULE ZA Wazazi ALIZOZIUA NA KULA HELA NDIO ZIMEMFANYA AUFYATE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…