Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kumbuka kabla ya iyo avatar picha unapiga pushep ulikuwaga na Avatar picha flani kada kavaa shati la kijani wakati ule wa uchaguziMatumizi yake yalitimia na kuzaa matunda, nikaamua kuipiga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katiba mpya ni maslahi ya taifa wewe mataga?Aina ya siasa tuliyonayo hailisaidii Taifa letu.
Viongozi wanamtetea Rais na sio kuangalia maslahi ya Nchi.
Hiyo ni approach mbaya.
Tunahitaji kubadilika.
Rais atakuja na atapita ila Taifa linabakia pale pale.
Hivyo tunapaswa kuangalia katika jambo linojadiliwa je nini ni maslahi ya Taifa na sio nini ni maslahi ya mkuu wa nchi au yeye anapenda kusikia nini.
Alishikwa sehemu za siri kuhujumu shule zajumuia ya wazazi.Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.
Kaufyata?!
We malaya acha kukariri habari za kwenye mitandaoHlo ameliasisi yule kubwa la maadui ambaye alipenda sana kuabudiwa
Tumia akili kupambanua mambo sio unaropoka kama unaharishaAlisema muwakutanishe serena Hotel na Kiroboto wachambane live.
We malaya acha kukariri habari za kwenye mitandao
Tumia akili kupbanua mambo sio unaropoka kama unaharisha
Acheni unafiki, kama mnataka siasa za kuweza kulisaidia hili taifa leteni KATIBA MPYA ndio suluhishoAina ya siasa tuliyonayo hailisaidii Taifa letu.
Viongozi wanamtetea Rais na sio kuangalia maslahi ya Nchi.
Hiyo ni approach mbaya.
Tunahitaji kubadilika.
Rais atakuja na atapita ila Taifa linabakia pale pale.
Hivyo tunapaswa kuangalia katika jambo linojadiliwa je nini ni maslahi ya Taifa na sio nini ni maslahi ya mkuu wa nchi au yeye anapenda kusikia nini.
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.![]()
Kaufyata?!
Hapa tayari umeshapanic🤣Tumia akili kupbanua mambo sio unaropoka kama unaharisha
Aiseeeh hata sikumbukiLakini kumbuka kabla ya iyo avatar picha unapiga pushep ulikuwaga na Avatar picha flani kada kavaa shati la kijani wakati ule wa uchaguzi
binafsi nimekuelewa sana mkuu....heshima kwako&ubarikiwe.Aina ya siasa tuliyonayo hailisaidii Taifa letu.
Viongozi wanamtetea Rais na sio kuangalia maslahi ya Nchi.
Hiyo ni approach mbaya.
Tunahitaji kubadilika.
Rais atakuja na atapita ila Taifa linabakia pale pale.
Hivyo tunapaswa kuangalia katika jambo linojadiliwa je nini ni maslahi ya Taifa na sio nini ni maslahi ya mkuu wa nchi au yeye anapenda kusikia nini
Muwa mnaijuwa historia Mwinyi mzee alikuwa anaitwa mtukufu Rais na JPM alikuwa anaitwa mh Rais nani? Alikuwa anapenda kuabudiwa? HapoHlo ameliasisi yule kubwa la maadui ambaye alipenda sana kuabudiwa
Aina ya siasa tuliyonayo hailisaidii Taifa letu.
Viongozi wanamtetea Rais na sio kuangalia maslahi ya Nchi.
Hiyo ni approach mbaya.
Tunahitaji kubadilika.
Rais atakuja na atapita ila Taifa linabakia pale pale.
Hivyo tunapaswa kuangalia katika jambo linojadiliwa je nini ni maslahi ya Taifa na sio nini ni maslahi ya mkuu wa nchi au yeye anapenda kusikia nini.
[/QUOTE
hahahahaha nimejikuta nacheka tu...
SHULE ZA Wazazi ALIZOZIUA NA KULA HELA NDIO ZIMEMFANYA AUFYATEIlikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.
Kaufyata?!