Kulikoni CCM na Serikali kutokutoa mkono wa pole kwa Polisi na wananchi waliofariki katika vurugu za Oktoba 29?

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,298
Reaction score
72,863
Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.

Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu Majini. Si serikali wala chama waliojitokeza kuomboleza nao.

Serikali na CCM ni kama wamepigwa upofu, badala ya kusikitishwa na kuwaomboleza waliopoteza maisha, wao wako wanalilia mabasi yaliyochomwa moto.
 
Wanadai kuna Polisi waliowawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.

Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu Majini. Si serikali wala chama waliojitokeza kuomboleza nao.

Serikali na CCM ni kama wamepigwa upofu, badala ya kusikitishwa na kuwaomboleza waliopoteza maisha, wao wako wanalilia mabasi yaliyochomwa moto.
Inasikitisha CCM inaelekea siyo ya wananchi.
 
Ndgu pole yanini wao wako pale kwa mtutu wa bunduki.hakuna kura ya mwananch kw ccm
 
Wanadai kuna Polisi waliouwawa katika vurugu za Oct 29. Kitu cha ajabu hatujaona wala kusikia serikali na CCM wakitoa mkono wa pole kwa marehemu hao.

Pia kuna wananchi kibao wamefariki katika vurugu za Oct 29. Baadhi yao walikuwa mashabiki wakubwa wa Rais Samia na CCM. Mfano mzuri ni Sharifu Majini. Si serikali wala chama waliojitokeza kuomboleza nao.

Serikali na CCM ni kama wamepigwa upofu, badala ya kusikitishwa na kuwaomboleza waliopoteza maisha, wao wako wanalilia mabasi yaliyochomwa moto.
Tangu lini muuaji akaombeleza kifo cha mtu aliyemwua? Mioyoni mwao maCCM wanashangilia kwa sababu wamefanikiwa kuwaua watanganyika wengi ambao wanaamini hawakwenda kuwapigia kura kwenye ule uchaguzi bandia.

CCM walivyo mashetani, wangetamani wawaue watanganyika wote ambao hawakwenda kuwapigia kura kwenye ue uchaguzi bandia..
 
Nimejitahidi kufuatilia kuona kama tangu kutokea kwa zile vurumai za Oktoba 29 CCM imefanya kikao chochote cha kujadili nini chanzo na kutoa msimamo. Sijaona kama Kuna kikao chochote wamefanya.

CCM imeshindwa kutoa pole Kwa familia za waliouawa kwenye zile vurumai?
 
CHANZO CHA YALIYOTEKEA HIKI HAPA CHINI

👇🏾
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 23
Nimejitahidi kufuatilia kuona kama tangu kutokea kwa zile vurumai za Oktoba 29 CCM imefanya kikao chochote cha kujadili nini chanzo na kutoa msimamo.

CCM imeshindwa kutoa pole Kwa familia za waliouawa kwenye zile vurumai?
Wataanzaje na wataanzia wapii!?😂 pamoja na unafiki wao wote lakini hili limewashinda kabisa!
 
Imenishangaza... Ukimya wao si wa kawaida.

Hata Lissu alipopigwa risasi walifanya unafiki wa kutoa pole... Hili la Oktoba 29 imekuwaje limewapita pembeni?
 
Nimejitahidi kufuatilia kuona kama tangu kutokea kwa zile vurumai za Oktoba 29 CCM imefanya kikao chochote cha kujadili nini chanzo na kutoa msimamo.

CCM imeshindwa kutoa pole Kwa familia za waliouawa kwenye zile vurumai?
hakuna atakae babaika na porojo wala matatanga hewa ya gaidi na mamluk wa mchongo:pulpTRAVOLTA:
 
Kwa mujibu wao
1. Mamluki kutoka nje.
2. No kumbe walilipwa.
3. Tulikosea, wale ni vibaka tuu.
4. Ni vibaraka wa kina hu ayuu
5. No no no, ni wahaini wa dola

Sasa hapo pole ya nini
 
Back
Top Bottom