Kulikoni ghafla tu wafaddhili wanasita kuichangia pesa na wakopeshaji wanakwepa kuikopesha tena chadema?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Unadhani wametathimini, wamegundua na wameshtuka au kuona kitu gani hapo mbeleni, hata kusitisha mambo hayo ambayo ndio yalikua yakifanya chadema kua hai, japo haina sifa za kisheria kushiriki uchaguzi wowote ule kote nchini Tanzania?πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
asante kwa taarifa SEMAJI la NGUVU la CDM
 
Nonsense!

Leta ushahidi kwamba walikuwa wanachangia na kuikopesha, na sasa wameacha.

Sisi tunaojua walioacha kukopeshwa na kuchangiwa ni serikali ya Tanzania chini ya Raisi Samia na CCM, na hata Raisi Samia amesema hilo. Sasa hili la Chadema limetoka wapi, Heche nae amesema hivyo?
 
Hoja zako hazina mantiki, kwa kizazi kipya Gen Z, uzuri fedha ni zetu na tunatoa kwa moyo mmoja kama tunavyotoa sadaka makanisani, na sehemu yoyote ile yenye uhitaji, na wakiomba tena tutachanga kama kawaida, naelewa wapinzani mnaumia....mungu ibariki ch
 
Hata Serikali imeshitishiwa Misaada kwa kiasi kikubwa
 
afisa masuhuli mkuu wa chama ana taarifa zaidi gentleman, na nilibadilishana nae mawili matatu baada ya kuonana nae jioni ya jana.

In short,
hali ni mbaya sana financially ndani ya chadema πŸ’
 
Gentleman,
kwahiyo chadema kunyimwa pesa na wafaddhili wake, lakini pia wakopeshaji wa chadema kugoma kuikopesha chadema hakuna mantiki, right?

ukata wa fedha chadema ndio mantiki au?
 
 
Huwa wanakopa wapi?
Kwanini hawakopesheki hivi sasa?
 
Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuendelea kuichangia CHADEMA iliyogeuzwa kama kikoba cha watu wachache kuneemesha Matumbo yao
 
Huwa wanakopa wapi?
Kwanini hawakopesheki hivi sasa?
kwani madeni ya chama yasiyolipika wanadaiwa wapi gentleman?

unakopeshekaje na hulipi na chama kinakwenda kufutwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…