Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Hujajibu swali hata moja!kwani madeni ya chama yasiyolipika wanadaiwa wapi gentleman?
unakopeshekaje na hulipi na chama kinakwenda kufutwa?![]()
Hujajibu swali hata moja!kwani madeni ya chama yasiyolipika wanadaiwa wapi gentleman?
unakopeshekaje na hulipi na chama kinakwenda kufutwa?![]()
In fact,Hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuendelea kuichangia CHADEMA iliyogeuzwa kama kikoba cha watu wachache kuneemesha Matumbo yao
Mkata viuno aka bongo lala aka zuzu la mazuzuUnadhani wametathimini, wamegundua na wameshtuka au kuona kitu gani hapo mbeleni, hata kusitisha mambo hayo ambayo ndio yalikua yakifanya chadema kua hai, japo haina sifa za kisheria kushiriki uchaguzi wowote ule kote nchini Tanzania?🐒
Mungu Ibariki Tanzania