Kulikoni hii trend ya X ya watu kutoka uarabuni kupinga kikundi cha Muslim Brotherhood

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870






Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
 
Hawa jamaa huwa wanashida gani sijui,huwa hawezi kukaa wakatulia
 
Mi wananifurahisha kwamba wanaweza kujitolea kufa.

Lakini wa kristo wanaogopa kufa ndio maana wanamuona Yesu ni shujaa alipojitolea kufa msalabani.

Wakristo wakionewa sanaaa wanafunga Novena, wajukuu wa mudi wao wanakiwasha liwalo na liwe.
 
Muslim Brotherhood ni nini ?
 
Muslim Brotherhood ni nini ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…