OC-CID
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 200
- 463
Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi.
Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Je safari hii Tume ina watu wake tayari?