Wanapewa shukani ya kuengua wapinzaniNaona wale wa awali wamepata tena ulaji.
Jikite kwenye kilimo ndugu. Kilimo kinalipa.Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi.
Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Je safari hii Tume ina watu wake tayari?
Wanapewa shukani ya kuengua wapinzani
Wote pamoja na vizazi waoYes.
CCM ilaaniwe
Walimu Oyeee!!Wale walioandikisha ndio wataosimamia sababu baadhi ya vifaa wanavyo, tshirts na kofia
Hiking chama ni pango la malaghaiWote pamoja na vizazi wao
Majangili tupuHiking chama ni pango la malaghai