incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Habari zenu wakuu.
Naomba tushauliane hapa, yawezekana hili naliona peke yangu.
Kwanini wasanii wa bongo fleva ikitokea msanii akavuma sana ndo unakuwa mwanzo wake wa kupotea?
Mbona wenzetu wa nigeria msanii anaweza kutoa hata ngoma moja na akavuma the whole Africa hadi nakuchukua Tuzo za MTV ... na ma awards kibao
Mfano Vijana wa nigeria akina
Wizzkid Ayo
Tekno miles..
Koledebello...
Patoraking..
ETC
Ni kama wameanza kusikika na Vijana wetu Akina
Baraka da prince...
Moo music..
Aslay....
Darasa...
Belle 9
Ben poul
Ila cha ajabu wenzetu wanapanda chati kila kuchapo huku kwetu ndo kwanza Vijana wetu ndo tunaanza kuwazika katika game na kusahaulika.
Mfano Moo music ndo basi yupo kama hayupo...
Baraka da prince ndo huyo yupo kwenye mseleleko kuelekea bondeni huko akauze samaki
Darasa ndo tena hatujui anafanya nini huko alipo
Belle 9 Ndo kashaanza kucheza ndondo cup collable na akina msaga sumu[emoji23] [emoji23]
Ben poul ndo huyo anajituma hadi na kiki za kupakwa mafuta ila bado hasikiki ..
Jamani kwanini sisi Watanzania? Kibaya zaidi hata mdogo wetu Aslay amekuja tukajua angalau ameleta mapinduzi, saizi ndo basi ameanza kunywea naskia kabisa na tetesi saizi ni yeye na pombe tu analewa hadi anaandika barua kwa wafu!
Kwanini Tanzania iwe WCB na KIBA tu ile hali tunovijana wazuri wanaojua kuimba?
Maoni yenu wadu[emoji26] [emoji26]