Kyamiki
Member
- Oct 19, 2022
- 19
- 18
Ni
Wanapatagq wapi ujasiri wa kuikosoa serikali na yao yanawashinda!!?
Shiiida...Hawa watu wa kanisa ni watu hatariii...wabinafsi mnoo viongozi..Wanapatagq wapi ujasiri wa kuikosoa serikali na yao yanawashinda!!?
Wanajijali wao tu..unashangaa Askofu Anakula mshahara mil 3..na anaweza kupokea mishahara miwili mfululizo wakati kuna mtumishi kwenye kituo anadai mishahara 6 jumla ni sh.2 millions na asipewe hata miaWanapatagq wapi ujasiri wa kuikosoa serikali na yao yanawashinda!!?