Kulikoni Mali za KKKT -DKMS kupigwa Mnada?

Ni
Wanapatagq wapi ujasiri wa kuikosoa serikali na yao yanawashinda!!?
Wanapatagq wapi ujasiri wa kuikosoa serikali na yao yanawashinda!!?
Shiiida...Hawa watu wa kanisa ni watu hatariii...wabinafsi mnoo viongozi..
Wanapatagq wapi ujasiri wa kuikosoa serikali na yao yanawashinda!!?
Wanajijali wao tu..unashangaa Askofu Anakula mshahara mil 3..na anaweza kupokea mishahara miwili mfululizo wakati kuna mtumishi kwenye kituo anadai mishahara 6 jumla ni sh.2 millions na asipewe hata mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…