white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Yaani alikuwa anajiita MZALENDO NAMBA MBILI, baada ya jpm!!kumbe ni ni wale wale tu!!Kuna yule mzee anaitwa Reantus Mkinga, alikuwa anatumika sana kuongea kwenye TV wakati wa kampeni na kumfagilia mwendazake hadi akapewa Ujumbe wa Bodi, siku hizi hasikiki kumbe ndio walikuwa wanatupiga hizi hela. Kweli ukiwa unakula huruhusiwi kuzungumza!
Shirika la TASAC liendelee kuwepo na wameleta mabadiliko makubwa Sana.Wataka kusema kampuni za private zimefungwa kisa TASAC 🤣🤣🤣🤣mbona zipo izo ni kuyumba kwa biashara kumbuka Tasac wana tunzo ya huduma bora kingine baadhi ya items nyingi hao private hawawezi kuact kama maagent wa kuondoa shehen zao watu wako kisheria na rate imepungua ni affoidable
Uitoe tasac atakaye ratibu usalama wa vyombo vya majini ni nan
Kuharibu bodi tu ndo unaongea yote haya🤣🤣🤣na LATRA je utasemaje
RIP Rais John P. Joseph Magufuli.
MaNawasalimu kwa jina la Muungano.
Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni moja kama posho za vikao tu.
Haya yote yamefanyika chini ya Rais wetu hayati John J P Magufuli.
Najiuliza ni taasisi ngapi au mamlaka ngapi zimefanya vikao vya aina hii visivyo na tija kwa taifa.
Kwa mantiki hiyo ina maana Hayati hakuweza kuliona hili jamani kwa kujipambanua kote kule?
Msaada ninaoomba tupate majina ya Mwenyekiti na Wajumbe wa bodi ya TASAC tuwajue hawa mchwa wasiokuwa na huruma na taifa hili.
#UKINIZINGUA NITAKUZINGUA
=======
The Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) held 23 dubious board meetings within one year at a cost of more than Sh600 million.
This was said today by President Samia Suluhu Hassan saying she was disappointed by misuse of public funds at the agency
“I am very disappointed, nothing has been improved at Tasac yet you conducted meetings and spent a lot of public funds , I have appointed you as a young man to work, I want to see improvements in this area and contribute to government revenue and not otherwise,” said President Hassan.
Ms Hassan said that on Tuesday, April 6 when she was swearing in permanent secretaries and deputy permanent secretaries at the State House following a minor reshuffle on Sunday.
“Let me tell you after nominating your name I slept around 4am reading the social media comments with most of them saying that you cannot perform because you are a new name,” she insisted.
She told the new director general Mr Kaimu Mkeyenge “You were also working in Tasac and you know all the evil that were happening at Tasac but I have decided to promote you now go and hard in collaboration with other staffs and clean up the institution,” said the President
Kuna Haja ya KuReview Upya Majukumu na Stahiki za Board Members wa Taasisi za Serikali. Hawa badala ya kuendeleza Taasisi Wanazidhoofisha Kwa kulipana Posho za Vikao Nauli,Chakula na Makazi. Wasipokuwepo Taasisi hazifanyi Kazi?Nawasalimu kwa jina la Muungano.
Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni moja kama posho za vikao tu.
Haya yote yamefanyika chini ya Rais wetu hayati John J P Magufuli.
Najiuliza ni taasisi ngapi au mamlaka ngapi zimefanya vikao vya aina hii visivyo na tija kwa taifa.
Kwa mantiki hiyo ina maana Hayati hakuweza kuliona hili jamani kwa kujipambanua kote kule?
Msaada ninaoomba tupate majina ya Mwenyekiti na Wajumbe wa bodi ya TASAC tuwajue hawa mchwa wasiokuwa na huruma na taifa hili.
#UKINIZINGUA NITAKUZINGUA
=======
The Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) held 23 dubious board meetings within one year at a cost of more than Sh600 million.
This was said today by President Samia Suluhu Hassan saying she was disappointed by misuse of public funds at the agency
“I am very disappointed, nothing has been improved at Tasac yet you conducted meetings and spent a lot of public funds , I have appointed you as a young man to work, I want to see improvements in this area and contribute to government revenue and not otherwise,” said President Hassan.
Ms Hassan said that on Tuesday, April 6 when she was swearing in permanent secretaries and deputy permanent secretaries at the State House following a minor reshuffle on Sunday.
“Let me tell you after nominating your name I slept around 4am reading the social media comments with most of them saying that you cannot perform because you are a new name,” she insisted.
She told the new director general Mr Kaimu Mkeyenge “You were also working in Tasac and you know all the evil that were happening at Tasac but I have decided to promote you now go and hard in collaboration with other staffs and clean up the institution,” said the President
So kwa mawazo yako TASAC wanapewa ruzuku na serikali.? Unajua gawio walitoa bei gani?TASAC ni Shirika lililofanya sana biashara ya kuingiza kipato mwaka jana na mwaka huu. Kwa pesa wanayozalisha hawapaswi kupewa ruzuku hata senti.
Wajanja wachache wamezivuna dollar kutoka kazi wanazofanya za Shipping Agent, Clearing and Fowarding,Ship registry, Seafarers registration.
TASAC wanatakiwa wawe ni wa pili baada ya TPA kwa mapato.
Tatizo Pombe alikua anawalisha matango pori kuwaambia elimu bure wakati mtoto wake anasoma Feza....TASAC ni taasisi ya uwakala wa meli Tanzania. Jana kwenye hotuba ya rais amegusia hiyo kuwa bodi ya TASAC imetumia zaidi ya milioni 600 kwa ajili ya vikao tu kwa mwaka.
Inafikirisha sana kwa nchi masikini kama Tanzania kutokea haya ambapo:
1. Watoto King'ong'o wanakaa chini
2. Dawa hazitoshi
3. Vyumba vya madarasa kila mwaka ni kero
4. Zahanati vijijini hakuna.
5. Watumishi wakipiga miayo kwa miaka 7
Juu ya haya yote watu wachache wana kutana kupiga soga na kutafuna zaidi ya milioni 600. Kuna tatizo kubwa kwenye mifumo yetu.
Pamoja na ukali wote wa hayati bado watu walidiriki kufanya haya. Kama nchi kuna sehemu tumefeli.
"Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
KAZI IENDELEE
Hela ndogo sana hiyoKwahiyo kila kikao kilitumia hela hizi
26,086,956.5
Tasac hoyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TASAC kama TPA, ATCL, SGR na JNHPP ni vichaka vya meko vya upigaji hilo liko wazi!Nawasalimu kwa jina la Muungano.
Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni moja kama posho za vikao tu.
Haya yote yamefanyika chini ya Rais wetu hayati John J P Magufuli.
Najiuliza ni taasisi ngapi au mamlaka ngapi zimefanya vikao vya aina hii visivyo na tija kwa taifa.
Kwa mantiki hiyo ina maana Hayati hakuweza kuliona hili jamani kwa kujipambanua kote kule?
Msaada ninaoomba tupate majina ya Mwenyekiti na Wajumbe wa bodi ya TASAC tuwajue hawa mchwa wasiokuwa na huruma na taifa hili.
#UKINIZINGUA NITAKUZINGUA
=======
The Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) held 23 dubious board meetings within one year at a cost of more than Sh600 million.
This was said today by President Samia Suluhu Hassan saying she was disappointed by misuse of public funds at the agency
“I am very disappointed, nothing has been improved at Tasac yet you conducted meetings and spent a lot of public funds , I have appointed you as a young man to work, I want to see improvements in this area and contribute to government revenue and not otherwise,” said President Hassan.
Ms Hassan said that on Tuesday, April 6 when she was swearing in permanent secretaries and deputy permanent secretaries at the State House following a minor reshuffle on Sunday.
“Let me tell you after nominating your name I slept around 4am reading the social media comments with most of them saying that you cannot perform because you are a new name,” she insisted.
She told the new director general Mr Kaimu Mkeyenge “You were also working in Tasac and you know all the evil that were happening at Tasac but I have decided to promote you now go and hard in collaboration with other staffs and clean up the institution,” said the President
Bodi ilikuwa na wajumbe wangapi na walikuwa wanatokea wapi kuja kwenye vikao? ... hii itasaidia kufanya tathmini!Kwahiyo kila kikao kilitumia hela hizi
26,086,956.5
Tasac hoyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni hatari sana.Kuna yule mzee anaitwa Reantus Mkinga, alikuwa anatumika sana kuongea kwenye TV wakati wa kampeni na kumfagilia mwendazake hadi akapewa Ujumbe wa Bodi, siku hizi hasikiki kumbe ndio walikuwa wanatupiga hizi hela. Kweli ukiwa unakula huruhusiwi kuzungumza!
Nakuunga mkono mkuu ila ujue TASAC wako professional sana na wanacomitment hawana weekend wala sikuu wale ni kazi ndo maana mwaka 2020 wamechukua tunzoShirika la TASAC liendelee kuwepo na wameleta mabadiliko makubwa Sana.
Kwangu Mimi naona kuna kazi ni Bora wawaachie private sectors wafanye na wao watakuwa kama ni regulatory body wa hizo kazi. Kwenye Shipping Business hakuna serikali inayofanya kazi zote yenyewe.
TASAC ni msimamizi na yupo upande wa kumtetea mtumiaji wa bandari apate huduma nzuri kwa tozo rafiki.Sasa kama TASAC anafanya hizo shughuli na yeye ndio regulatory unadhani atapata wapi nafasi ya kujikosoa, Hapo ni sawa na kufunga mtihani Kisha ujishahishie mwenyewe.
Kuhusu kampuni za Clearing and Fowarding kweli ujanja ulikuwapo na Bei ilikuwa kama pango la kamari. Saizi msimamizi wa hizo kazi si TASAC kwanini asisimamie sheria ili mtu unapofungua kampuni lazima uwe umesoma chuo Cha kodi na sio huu utaratibu wa kumfanyia mtu anayetaka afungue kampuni. Kampuni ilete majina ya watu wawili wenye utalaamu wa clearing watafanya kazi za Declaration, na watu waliosoma Cargo Tallying.Pia kampuni hizo binafsi zinafanyika audit na ukaguzi wa staff wake, bei zinawekwa elekezi kwa kila aina ya mzigo wa kufanyiwa clearing.
TASAC wao wana nafasi kubwa ya kuchochea ajira nyingi ambazo ni direct na indirect kwa watanzania ,kuchochea exportation/importation na kufanya Bei za ukomboaji mizigo kuwa rafiki Sana.
Ni mtazamo wangu.
Kama 8 hwazidi kuwakamua hao waeleze 😂😂😂🤣Bodi ilikuwa na wajumbe wangapi na walikuwa wanatokea wapi kuja kwenye vikao? ... hii itasaidia kufanya tathmini!
View attachment 1746077
View attachment 1746075
🤣🤣🤣😂😂😂Hela ndogo sana hiyo
Kwa kikao kimoja..
Tafuta kazi ya maana uwe unafanya...ndio madhara ya kukaa muda mrefu bila ajira.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app