Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Raisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?