Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Masharti nje si rafikiRaisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?
Ndugai alikuwa sahihiRaisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?
Huko ng'ambo kaambiwaRaisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?
Trillion Mia na Saba...Raisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?
Daa mpaka anamaliza ataacha 150tTrillion Mia na Saba...
Unadhani NI pesa ndogo Ati ehee?
Hatari saanaHuko ng'ambo kaambiwa
NO REFORMS NO ELECTION
hapewi mkopo mpaka atimize sharti la kufanya reforms kabla ya uchaguzi.
Mungu wabariki sana mabeberu
Pesa zenyewe za uchaguzi ni kutegemea mkopo sasa umeminywa
Unajua maana ya 80%Hata UN wanapunguza 80% ya Wafanyakazi kwa sababu marekani kakata misaada
Abudulu anasemaje kwa I?Raisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?
Na UN itaparaga yika sababu ya ukata.Hata UN wanapunguza 80% ya Wafanyakazi kwa sababu marekani kakata misaada
Mpaka anamaliza atakuwa ameacha 197 trillion.Daa mpaka anamaliza ataacha 150t
labda kama umeanza kumjua samia leo,toka ameshika mafaraka ya nchi hii,anapigania sana ulipwaji wa kodiRaisi Magufuli soon alipoingia madarakani alisisitiza kulipa Kodi, alisisitiza wafanyabihashara kutoa risiti za ki electronic. Na makusanyo yaliongezeka sana.
Samia alipoingia madarakani hakuweka msisitizo kwa watu kulipa Kodi,alijigamba kuwa ataendelea kukopa tena sana tu. Matokeo yake tumeyaona deni letu limefikia 107t. Kipi kimemfanya Samia kupiga u turn na kuanza kusisitiza watu walipe Kodi?
DaaaMpaka anamaliza atakuwa ameacha 197 trillion.