Kulikoni mbona Samia anasisitiza sana watu kulipa Kodi siku hizi?

Kapigwa marufuku kwenda nje wala kwenda kudanganya kwamba ana 4R na kuheshimu haki za binadamu kumbe ilikuwa gia ya kujipatia mikopo au misaada pasipo uungwana.
 
Tulisema, viatu vikubwa mno mno!
Ikulu sehemu patakatifu.
Linda maliasili na rasilimali kama mtoto wako damu au zaidi.
AMANI na UTULIVU vyaja kwa kuwapa haki raia.
Keki ya nchi lazima wananchi wafaidi.
Rushwa, ufisadi, wizi, KUTOKUWAJIBIKA iwe mwiko....
Vyote hivi hafanyi! Nchi imemshinda, ANATAPATAPA TU....
ABAWAGE MANYANGA ALE PENSHENI TUTAMHESHIMU TENA!
 
Yaani tunalipa deni ambalo wamefaidi wanakizimkazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…