Angeshabomoka toka zamani huyo sio wa kwanza wengi tu washambomoa still anadundaGwajima anabomolewa taratibu.
Kwenye shida za watu kiroho kuna pesa nyingi Sana maana watu Wana shida Sana na maarifa ya kujinasua hawana.Thus waganga na manabii washirikina upiga pesa ndefu Sana.Kaona Acha na yeye apige hela!
Ova
True kama alivyofanya lucifa mbinguni.Tamaa na ulafi wa mali, pesa au kutaka zaidi ndiyo shida inajazia hapo.
Kama alipewa madaraka ya juu mpaka kukasimishwa nafasi ya juu sana iweje afanye yake?
Binafsi sijui ya ndani ila kwa nje kupewa mamlaka makubwa ya kusimamia mali ya mtu ni nafasi ya kuandaa maisha yako mengine si lazima kila mtu awe na kanisa.
Binafsi sikubaliani na hoja yako, kila ministry/ kanisa ina misingi yake. Kwa hoja yako basi protestants wawe ni roma kisa wao nao wana bible tofauti yao ni kwa sababu wana misingi yao tofauti na RC. Binafsi nipo nje ya mifumo ya dini sioni mwenye unafuu baina yao kikubwa naheshimu kila mmoja na anachokiamini kuanzia mashariki mpaka magharibi😅😅Utengano kiroho haukuanza leo ni karne,huyo sio wa kwanza wapo wengi tu waliotoka kwake wakaanza huduma zao.
Yupo mmoja mwanza anajiita mungu baba godi ujiita mungu anaabudiwa na kusujudiwa kama alivyo zumaridi,kwa kuwafanya waumini wao misukule.Gari ya baba godi ikipita hata ukiwa mjini kama ni muumini wake ni lzm uisujudu eti ni takatifu,mke na watoto wake wanasujudiwa.
Serikali yafaa iingilie Kati dhidi ya wahuni wanaoharibu akili za watu kuwafanya waumini kuwa watumwa wao.Kwa baba godi waliacha kabisa kutumia biblia wao ni kupokea maagizo toka kwa mungu wao baba godi wanasema walishavuka level ya kutumia biblia.
Waumini wake uwaambii kitu watakupiga hata na mawe wanakuona we ndie umepotea wao wapo njia sahihi.
Sio KILA kanisa lenye msalaba unaingia mengi ni mahekalu ya freemason bila kujua.
Labda ungemuuliza mwenyewe sababu ya yeye kuwa na ministry yake.Habarini wana JF,
Nmekutana na huduma mpya ya huyu mtumishi ambaye juzi kati alikasimishwa madaraka ya kusimamia makanisa ya Ufufuo na Uzima Dar.
Nmeona kama ana ameanzisha huduma nyingine inaitwa Clinic ya mwanakondoo, sasa sjui wamezinguana vipi na ASKOFU Gwajima wakati huyu alikuwa anapendwa sana na Gwajima.