Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huo ni mfumo gani mkuu?Free mind mkuu[emoji28][emoji28]
Naomba unieleweshe kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mfumo gani mkuu?Free mind mkuu[emoji28][emoji28]
Imebidi nitumie dictionary kidogo mkuu.Huo ni mfumo gani mkuu?
Naomba unieleweshe kidogo.
Ndiyo huamini katika imani za dini.Imebidi nitumie dictionary kidogo mkuu.
“a person who does not believe in a particular thing, especially one who has no religious faith”
Sipo limited katika ufikiri, msingi mkuu ni kuamini kila kitu kipo kwa sababu ya.... kipo katika sayansi,Ndiyo huamini katika imani za dini.
Umesema wewe una free mind.
Nilitaka ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo free mind,kwa maana ya msingi wako na vitu vingine kama hivyo.
Oh sawa.Sipo limited katika ufikiri, msingi mkuu ni kuamini kila kitu kipo kwa sababu ya.... kipo katika sayansi,
Kila uchaguzi(decision) unaoufanya matokeo yake yana pande mbili either +ve au -ve na hakuna supernatural issues.
Mwisho wa mwanadamu na historia yake ya maisha huisha pale seli zake zote ziposhindwa kufanya kazi
Misingi ya dini ulimwenguni ni matokeo ya tamaduni katika jamii na kuweka ustaarabu wao.
Hayo ndiyo yangu mkuu
Kwa sasa bado nasimamia BING BANG Theory japo kadri ya muda ninavyopata najielimisha kupitia findings nyingine kuhusu universe creation. NAjilaumu kutosoma astronomy mapema😊Oh sawa.
Kwahiyo katika sayansi unayoiamini,inazungumziaje kuhusu kuwepo kwa ulimwengu?