Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Haupo kwenye mifumo ya dini, upo kwenye mifumo ipi mkuu?Binafsi sikubaliani na hoja yako, kila ministry/ kanisa ina misingi yake. Kwa hoja yako basi protestants wawe ni roma kisa wao nao wana bible tofauti yao ni kwa sababu wana misingi yao tofauti na RC. Binafsi nipo nje ya mifumo ya dini sioni mwenye unafuu baina yao kikubwa naheshimu kila mmoja na anachokiamini kuanzia mashariki mpaka magharibi[emoji28][emoji28]