Kulikoni mfuasi wa Gwajima, Amos Komba kaanzisha huduma yake ya kiroho?

Haupo kwenye mifumo ya dini, upo kwenye mifumo ipi mkuu?
 
Madhehebu yote ya Kikristo yamejimega toka RC na yameendelea kujimega toka makundi hadi vikundi ambapo muasisi wake akifariki nayo ufariki kwa kujigawa.
 
Hawa RC/Protestants naona waliwahi kutengeneza taasisi ndio maana zinaishi mpaka leo. Nigerian pastor alokufa mwaka huu naona mke wake yupo kwenye mapambano synagogue isimdondokee
 
Kwenye shida za watu kiroho kuna pesa nyingi Sana maana watu Wana shida Sana na maarifa ya kujinasua hawana.Thus waganga na manabii washirikina upiga pesa ndefu Sana.
Kabisa

Ova
 
Hatari,tatizo watu hawasomi maandiko ndio maana yanawapata haya ya baba godi
 
Hawa RC/Protestants naona waliwahi kutengeneza taasisi ndio maana zinaishi mpaka leo. Nigerian pastor alokufa mwaka huu naona mke wake yupo kwenye mapambano synagogue isimdondokee
Sikuhizi mama Mchungaji nae anasoma degree ya theology kuokoa jahazi inapobidi.
 
Hawa RC/Protestants naona waliwahi kutengeneza taasisi ndio maana zinaishi mpaka leo. Nigerian pastor alokufa mwaka huu naona mke wake yupo kwenye mapambano synagogue isimdondokee
Ndo tofauti ya kutengeneza maslai ya Mungu na ya maslai ya binadamu.
Yapo madhehebu hayupo mmiliki mnawekewa flash au cd kuendelea na mahubiri.
 
Hatari,tatizo watu hawasomi maandiko ndio maana yanawapata haya ya baba godi
Ukiitumia vizuri akili yako aliyokupa Mwenyezi Mungu utohitaji kupeleka pesa kwa nabii wala mganga kutatua shida zako.
Mungu alimuumba mwanadamu akiwa kakamilika kabisa na akampa uwezo wa kuongoza na kuvitawala vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Leo watu wanasumbuliwa na wachawi, majini hivi ni viumbe dhaifu kabisa kwa uwezo aliopewa mwanadamu.
Ni wavivu kutafuta maarifa tu thus tunalazimika kudungwa chale au kuombewa na nabii badala ya kwenda direct kwenye chanzo cha nguvu.
 
Kusema ukweli I was not expecting huu uasi kufanywa na huyu jamaa
 
Sikuhizi mama Mchungaji nae anasoma degree ya theology kuokoa haha I inapobidi.
Hahaha!
Late Dr. myles Munroe wa Bahamas ministry sijui ministry yake imeisha vipi. Labda mtoto alobaki alirithi mirathiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ndo tofauti ya kutengeneza maslai ya Mungu na ya maslai ya binadamu.
Yapo madhehebu hayupo mmiliki mnawekewa flash au cd kuendelea na mahubiri.
Yeah, tusiangalie sana hawa new upcoming. Tukiangalia foundations za even hawa giants wa sasa nao % kubwa huko mwanzoni ni majanga tupu. Kikubwa ni kuamini unapoamini moyo wako una amani
 
Tamaa huwasumbua Hawa viongozi wa kilokole, na wengi husahau kuwa si lazima wote wawe wachungaji
 
Hawa RC/Protestants naona waliwahi kutengeneza taasisi ndio maana zinaishi mpaka leo. Nigerian pastor alokufa mwaka huu naona mke wake yupo kwenye mapambano synagogue isimdondokee
Dah mke yule Ali relax sana aisee badala na yeye angejifunza huduma Sasa wa injilisti waliofundishwa na mumewe na wao wameondoka na mama sijawahi ona akiombea na lile kanisa watu walikuwa wanafata miujiza na hata hao mitume nao walikuwa fake wallah
 
Nadhani hakujua nini kinafuata, rejea mlima wa moto baada ya mama kututoka β€œbaba” yetu yupo wapi?!πŸ˜…πŸ˜…
 
Mambo ya fursa nae kaamua kujiongeza.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Biashara kama biashara nyingine Maslahi mbele,Jamaa kaona bora aanzishe Goli lake ili apige more.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…