Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

Ndevu zake,kafuga mwenyewe,lakini zinawakera watu wengine.Kuna watu wana kucha kama shetani na wangine wamefuga rasta lakini wanasema fasheni.Kila mtu ana haki ya kuishi atakavyo as long havunji sheria.
 
Waingereza weupe wengi wabaguzi tu
Guys hebu kuweni wakweli, kati ya Wazungu na Waarabu nani mbaguzi? Nadhani ni rahisi mno kupata kiwanja Ulaya na Marekani na ukajenga msikiti na watu wakasali msikitini kwa amani kabisa bila shida BUT sio rahisi and is next to impossible kupata kiwanja cha kujenga kanisa nchi yeyote ya Kiislamu popote duniani. Well, hivi unaweza kuchaguliwa kiongozi hasa kwenye mambo ya kiutamaduni kwenye nchi ya Kiislamu mtu ambaye sio wa asili yao kweli? Zanzibar tu hapo ni mtihani; kuna wa Anglican na Roman Catholic miaka na miaka, na ni wazaliwa wa hapo hapo Zanzibar, nani tunamsikia yupo walau kwenye baraza la mawaziri au mbunge hata wa kuteuliwa tu? OK, yatokee machafuko Uislamuni/Uarabuni, mbona wanakimbiliaga kwa hao mnao sema wabaguzi na sio kwenye nchi wanazo fanana nazo kiimani? Mwezi mtukufu hu, tuache uongo na unafiki, Mungu hapendi ingawa DINI inaweza kua inaruhusu.
 
Back
Top Bottom