Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
JICHOKwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
View attachment 3270534
View attachment 3270535
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JICHOKwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
View attachment 3270534
View attachment 3270535
Guys hebu kuweni wakweli, kati ya Wazungu na Waarabu nani mbaguzi? Nadhani ni rahisi mno kupata kiwanja Ulaya na Marekani na ukajenga msikiti na watu wakasali msikitini kwa amani kabisa bila shida BUT sio rahisi and is next to impossible kupata kiwanja cha kujenga kanisa nchi yeyote ya Kiislamu popote duniani. Well, hivi unaweza kuchaguliwa kiongozi hasa kwenye mambo ya kiutamaduni kwenye nchi ya Kiislamu mtu ambaye sio wa asili yao kweli? Zanzibar tu hapo ni mtihani; kuna wa Anglican na Roman Catholic miaka na miaka, na ni wazaliwa wa hapo hapo Zanzibar, nani tunamsikia yupo walau kwenye baraza la mawaziri au mbunge hata wa kuteuliwa tu? OK, yatokee machafuko Uislamuni/Uarabuni, mbona wanakimbiliaga kwa hao mnao sema wabaguzi na sio kwenye nchi wanazo fanana nazo kiimani? Mwezi mtukufu hu, tuache uongo na unafiki, Mungu hapendi ingawa DINI inaweza kua inaruhusu.Waingereza weupe wengi wabaguzi tu
🤣🤣🤣🤣Naye kwanini ajiweke hivyo banna!!?